Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Kama angekuwa amemkamata Mafwele sidhani kama mtu serious anamkamata na kumwachiai. Huo ni uongo wa mchana.
Mtu ambaye amemteka ndugu yako au kamuua. Unamkata unamwachia? Yaani unaona adhabu yake ni hiyo kama ni kweli? Ni uongo. Aanze kuwa serious.
Huyu bwana mdogo anaongea sana vitendo hamna. Wanajeshi hawapaswi kila siku kuongea ongea kama akina Lucas Mwashambwa. Wanapaswa kutenda halafu wanaongea kidogo. Maneno machache vitendo vingi.
Jamaa anatema sana mkwara lakini hatuoni vitendo. Mpaka najiuliza je naye anatumika kufubaza mambo au inakuaje? Mpaka sasa hatujapata majibu kabisa. Halafu anakuja kusema alipita Kigamboni na nyumba aliyopo ndugu yake anaifahamu. Halafu? Akamwacha humo humo?
Hivi yupo serious kweli? Au anafanya ucheshi? Aache ubwege sasa