Kaka yake hanitaki kisa mie sio mchaga

Mimi mwenyewe ni mchagga kisa sina pesa kuwa nao ni ishuu sema nini! Sijawahi kuwapenda hata wala hawanitishi.
 
Mpaka mnakutanizwa na kaka yake, kuna uwezekana amekuona kabisa wewe mwenyewe haujielewi. Usikute demu mwenyewe huwa unamvizia akiwa ametumwa, and yet uma mobilise mashabiki kibao waone kuwa wewe mdiye unakokota.
 
Kwenye makabila mengi niliyoyaona, Wachaga ni wabaguzi na wabinafsi sana. Makabila mengine hayana shida, kosa ukutane na ukoo wa Wachaga au Wapare.... Hao waache kabisa waoane wao kwa wao... Tena ukiwa na mali uchelewi kudedishwa chapu wachukue mali... Mchaga ni bora ukutane naye yule wa mjini ambae haendagi kwao Christmas, hawa wanaorudi kwao Christmas sio kabisa wa kuoa au kuolewa nao. πŸ˜‚ Hayo ni maoni yangu binafsi
 
TENA UKIWEZA NENDA KATOE SADAKA YA SHUKRANI,
KUNA KITU KIKUBWA SANA UMEKIHEPUKA!
NDOA/MAHUSIANO NA WACHAGA NI MATESO SANA.
OGOPA NDOA NA MCHAGA AISEEE...
ACHA WAOANE WAO KWA WAO.
Jamaa anaona kapata dodo mimi hapa nilipo nishakosa imani na wachagga wenzangu.
 
Mbna kuna wachaga wameoa makabila mengine.
 
Hilo halitakiwi hata kukunyima usingizi,
Maoni ya watu kuhusu wewe, is none of ur business,
Cha msingi, mrembo anasemaje? Watu tumekosolewa, mpaka na, wazazi, lakini tumo tu, tulikomaaa, mpaka wakashangaa, tukafanya na ku accomplish vitu,ambavyo hawakutegemea tufanye,
It's life bro, people will always have their views on you! That should not concern our take you out of ur strategies
 
We nae kenge kweli. Tangu last year umebandua mara 2 tu? Acha uboya, ongeza kasi. Bro atakukubali ukionesha ufanisi
 
Wewe nyau emu njoo selfika kuna content muhimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] udugu selfika inagoma ku open, ina loads tyuuh,
Sijui shida nn lol.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…