Kaka yake hanitaki kisa mie sio mchaga

🤣🤣Huko unapewa mke bure manake wao ni hopeless
Wanaona wewe kama ndo mwokozi wao umekuja🤣🤣
 
Hataki muambukizane umasikini...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaka yake kakuona lofa
Huna maisha,apeche alolo
Utampa maisha gani dada yake zaidi ya du du unalojisifia nalo?[emoji1787][emoji1787]
Waweza lipeleka bank ukapewa 20m ya kuanzishia biashara hilo gobole lako?nope
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilitaka nikupatie ushauri wa kumpachika huyo binti mimba ila sidhani kama itawezekana. Kama tangu mwaka jana hadi leo mme sex mara mbili tu. Inawezekana pia huyo bro wake amekuona wewe jamaa ni boya, you need to be a tough guy
 
Ulige! Ulige! Iwee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…