Kaka unapooa mrembo kubaliana na haya

Hahaha hao ni wale wanawake mnaaoa mmekutana club...
Mpk unaoa ulikua hujui km hajui kazi...kabla hujaoa msome..mlete ghetto uone anachofanya..
By the way wako warembo ambao kazi zooteee tunajua..km unabisha njoo umuulize mme wangu....lol
mume wako anaitwa nani
 
Niko tayari kuolewa mitala na mwanaume wa hivi

brenda18 atoto
 
Hahaha hao ni wale wanawake mnaaoa mmekutana club...
Mpk unaoa ulikua hujui km hajui kazi...kabla hujaoa msome..mlete ghetto uone anachofanya..
By the way wako warembo ambao kazi zooteee tunajua..km unabisha njoo umuulize mme wangu....lol
Jina lenyewe tofali,mumeo akikuzingua si unampiga tofali la kichwa wewe
 

I'm one up on you hommie.

Me and my [imaginary] wife cook together😉.

And I can vouch to you that that is one of the most romantic things you and your better half can do.

I mean, what's more romantic than cooking dinner together at home and eat it under candlelight.....?

Marriage is a two-way street. In order for it to be successful, a lot of give-and-take is required from both husband and wife.

The synergistic effect of working together as a tag team just can't be beat.

I can't be an arrogant and domineering husband. My [imaginary] wife is my life partner. Not my maid.
 
jamani mi nimekupenda bure ila nimezoeshwa mfumo dume ntajikuta nshajitutumua kukupikia asubuh sasa itakuwa balaa
Kama unapika mwenyewe kwa kupenda is OK!Lkn kufanya kupika ni majukumu ya lazima ya mke wangu HAPANA
 
100% you got my support man
 
Mimi sijaelewa hivi unapooa mke unatarajia kuwa ni mfanyakazi wako wa kukufulia.

Kudeki kukupikia na mengine badilikene bwana mwanamke kazi yake ni moja tu haya mambo mengine ni msaada.
Na mnatakiwa msaidizane wote.
Lakini huku kwetu afrika tumegeuza wanawake ndiyo wafanyakazi wa kazi zote za ndani lol
 
Duu hao bana siyo kabisa eti unakuta huyo anayejiita mrembo kabandika kucha mpaka mkono wa kulia sasa huyo hata akikupika au akakutengenezea juice si anakulisha mavi kabisa!!! Kiukweli tuwe makini sana wakati wa kuoa hao ni wachafu mno ukweli ndiyo huo eti wanaaribu kucha zao na mikono yao hao siyo wife material labda kama unataka kuudumiwa na dada wa nyumbani kila kitu asante mtoa mada kwa kutuelimisha.
 
Siyo swala la kazi zote za ndani mkuu ishu ni kwamba uwe na mke ambaye ni msafi wa asili siyo kubumba owa wewe mwenye kucha za kubandika, kope za kubandika, Wigi au aliyefuga kucha alafu uwe na mtoto mdogo ndani utamkumbuka mtoa mada.
 
Siyo swala la kazi zote za ndani mkuu ishu ni kwamba uwe na mke ambaye ni msafi wa asili siyo kubumba owa wewe mwenye kucha za kubandika, kope za kubandika, Wigi au aliyefuga kucha alafu uwe na mtoto mdogo ndani utamkumbuka mtoa mada.
Ila labda tuseme kitu kimoja hivi unapokwenda kuoa mwanamke wa jinsi hiyo unataraji nini.

Ila mimi msimamo wangu bado upo pale pale usioe mwanamke ili awe mfanyakazi mwanamke ni pambo la ndani.

Hivi unaona tabu gani wewe ukimfulia nguo zake na ukafangia ndani hivi kuna sheria gani ambayo inaeleza kwamba mwanamke afanye kazi zote hizo.
 
Siku hizi maisha ni kusaidiana. Mume na mke ni kama msanii na producer wote inatakiwa wategemeane.
 
ulichosema hapo n fact ila kama wazur tuu ndo waolewe wabaya watabak na nana by the way wabaya hao ukimwoa anakuzalia matoto ya maana kinyama (ie, vivwanda vyao vya kutengeneza watoto viko sawa sana).
Sura haitoi mtu out sasa natoa out jitu hata halinifulii nguo kupika apike dada acha ujinga kuoa its not only about kutoka out fikiri kwa upana.
 
Ndiyo maana unakaa kwenye nyumba ya wazazi wako mpaka unazeeka kalia hayo ukifa watoto watakula hiyo figure na akili ya huyo mke wenye zero thinking capacity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…