Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
umeolewa lini?Hahaha hao ni wale wanawake mnaaoa mmekutana club...
Mpk unaoa ulikua hujui km hajui kazi...kabla hujaoa msome..mlete ghetto uone anachofanya..
By the way wako warembo ambao kazi zooteee tunajua..km unabisha njoo umuulize mme wangu....lol
Kosa letu wanaume tunafuata hisia zaidi kuliko akili ktk kupata mke. Kosa la pili, kumpeleka mtarajiwa kwa mama zetu, kama kipimo cha kufanyakazi ni wazi atajitahd kufanyakazi. Chezea ukweni wewe wakati ndoa anataka.
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya;
1. Wasichana wengi sasa hawajui kupika. Wanajifanya wamechoka nitanunua msosi sana tu, tena usipokaza hata chai ataenda kununua.
2. Usishangae nguo zako kutofuliwa wiki mbili, anaweza kumuita mdogo ake anamlipa afue. Yeye anachart sio na wewe ujue ni shotizooo.
3. Kupiga deki sahau kijana mwenzangu. Aanze tu kupinda mgongo. Kama unataka usafi wa nyumba yako tafuta housegirl.
4. Jua kuwa utawahi wewe kuamka, yeye bado kalala. Amechoka kazi za ofisini za jana yake.
5. Bajet ya saloon iwepo ya kila wiki nywele na kucha.
Mkuu yameshakukuta nini?Inaudhi sana hata kikombe cha chai kinalowekwa. Tena kinaweza oshwa kesho yake.
Kweli wewe kitofaHahaha hao ni wale wanawake mnaaoa mmekutana club...
Mpk unaoa ulikua hujui km hajui kazi...kabla hujaoa msome..mlete ghetto uone anachofanya..
By the way wako warembo ambao kazi zooteee tunajua..km unabisha njoo umuulize mme wangu....lol
Naposema hisia zaidi yaan hata kushindwa kuona dosari zake. Kama tukiamua kufuata vigezo vya mke bora kwa mkazo bila kujidanganya kwa kuvifumbia macho baadhi, tutawagundua hawa wavivu.Mkuu utawezaje kumuoa mwanamke ambaye hata huna hisia naye si ndo mtakerana ndani na badaye utaanza kwenda kwa waganga kutafuta dawa za kuongezea nguvu za kiume ,mi hapa kwa upande wangu siwezi kabisa kumchukua demu wa kufanya naye mapenzi kama sina hisia naye na hata kama nikimchukua siwezi piga bao zaidi ya moja maana sina hisia yoyote kwake atazidi tu kunikera au kukerana kwa kutomfikisha kileleni anapotaka yeye,,
So watch out ila sijui kwako..