usimng'ang'anie lakini..
Usijal mke wangu hayo yanatafutwa tu hilo likipinduka unafilisika fastaMe niko njia kuu michepuko sitaki
sasa kukutanae si mpaka mtu afe?
kwa hapa duniani hapana!! ila mbinguni ndiyo. tutaishi milele
bila stuggling tutaona maendeleo kwa wenzetu tu....asantee..
mi niko njema kaka! struglin'