Kaka anafaidi, mweh!!

Ndo wa namna hiyo ambao Kkkt tumesema wakija hivyo kanisani kufunga ndoa watakula jeuri yao
 
... Hayana mvuto wowote' sijapenda, kaniharibia weekend yangu. Ninge jua nisinge tazama' yamekaa kibandia bandia sana.
 
Nawe si utafute ufaidi kwani kuna aliyekuzuia au wivu wa kike? Umejuaje anafaidi wakati hujafaidi au ni wale wenye mila ya kunyemelea shemeji na kula sahani moja na kaka zao? Naichukia tabia hii maana ni umalaya na uchafu usio na mfano.
 
Mimi na wewe tunafanana kwani wote tume-COMMENT tulichokiona.
 
Mnh, gauni lake zuri sana. Ila nadhani nanihii ina mchanganyiko wa NIDO, COWBELL na TANGAFRESH! Lol!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…