kaka hajatuachia cha kumkumbuka.

kaka hajatuachia cha kumkumbuka.

Tafuteni vya kwenu
IMG-20261007-WA0147.jpg
 
Leo tulipokuwa tunarudishia udongo kaburi.nilijawa na huzun maana kaka yangu sitawahi kumwona tena. hajaacha hata mtoto wa kumkumbukia hakuna jaman kaka umetuacha vibaya.nimebak sasa mwenyewe wa kiume nipambanie kombe.
Amewaachia Mali, Kataa Ndoa wanakuwaga matajiri
 
Leo tulipokuwa tunarudishia udongo kaburi.nilijawa na huzun maana kaka yangu sitawahi kumwona tena. hajaacha hata mtoto wa kumkumbukia hakuna jaman kaka umetuacha vibaya.nimebak sasa mwenyewe wa kiume nipambanie kombe.
Poleni sana ndugu yangu, mwenyezi Mungu amjalie pumziko jema.

Naam kabisa hakuja bure kwenye ulimwengu huu na wala hakuondoka bure, kuna kitu kilifanyika kupitia yeye chenye manufaa sana hata kama nyie ndugu hamkukishuhudia.
 
Back
Top Bottom