Kaka afumaniwa na dada ake

Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.

Tabia za kiisalamu ndio zipi mkuu? Waarabu amabao ndio wagunduzi wa uislamu wanagegedana wenyewe kwa wenyewe mtu na dadake
 
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.

elmasry;
weye upo dunia hii au umetokea akhera leo??? Uislam wako na kufumaniwa kwa kaka na dada ni wapi na wapi?? Mleta hoja kasema Ba na Ma walitoka kujirusha kitaani. Hatujui waliondoka saa ngapi na wamezoea kutoka kila siku kujirusha au! Tena, je, familia hii ina vyumba vingapi na vyoo/bafu ngapi. Hawa vijana huonana wakiwa wanatoka bafuni/ kukumbana tu milangoni mara ngapi? Hivi vyote ni vichochezi vya wao kutamaniana.
Utakuta familia husika wana vyumba 2 tu kwa hivyo wazazi wamewaacha vijana husika waonane hovyo hovyo kwenye korido au sebuleni au chumbani wakibadili nguo zao wazazi wakidhani hawawezi ku do haya makitu kwa woga kuwa huyu ni kaka yangu au dada yangu.
Msiwapige watu bila kuchunguza tatizo. Kumpiga kijana si suluhisho la mambo. Je ka mimba ilitunga kumpiga kutakifanya kiumbe hai kilichotungwa kuwa si chao? Mambo mengine yahitaji kutulizana kwanza. Mjinga wa wote ni huyo mzazi bazazi aliyepiga kelele kuita majirani. Huyo tumchape kwanza kwa kuruhusu uhusiano wa wanawe
 
Wangehojiwa vizuri kabla ya kupigwa huenda walikua wanafanya practical ya reproduction si mjua shule zetu za hapa tz hakuna vifaa vya kufanyia practical????
 
Hapa tusilete mambo ya udini na vita ya kidini ya maneno mtu nanaweza kuwa kazaliwa muislam au mkristo lakini matendo yake yasiendane na matakwa ya dini yake.
Otherwise naona watu mnataka kulihalalisha tukio hili kama limetendwa na wa dini fulani ni kawaida yao, yote kwa yote tendo hili ni haramu linastahili karipio na adhabu stahiki.


Kamanda Moshi;9885368]mkuu hivi yule aliyemlawiti mtoto msikitini tena huku kamshikisha Quran naye ni kasisi?
na yule aliyemlawiti mtoto na kisha kumuua naye ni kasisi? au hukuyasikia hayo na hujui aliyefanya hivo?
mkuu kiufupi dini haitendi ushenzi wanaotenda ushenzi ni watu, uwe Muslim au Christian, matendo ni ya kwako binafsi usisingizie dini na watu wa dini zote tu wapo wanaotenda ushenzi na wapo wema.[/QUOTE]
 
Walikuwa wanafanya nini?

Wewe ni ---- na wale wote wenye swali kama lako kwenye uzi huu. Inamaana hujui maana ya fumanizi? mpaka watamke ngono? hacha utoto, au ulishawahi kunanii na dada/kaka yako?(hapo jifanye kuuliza maana yake), are you not great thinker?
 
uyu emasry boya kweli na kama wamelelewa kiislamu je...kojoa ukalale mchana unakaribia
 
Sasa Topic ndo imeshatiwa ndimu maana imesha 'twist' na kuelekea kwenye mambo ya kidini ambapo huwa ndio uwanja wa matusi.
 
Wewe ni ---- na wale wote wenye swali kama lako kwenye uzi huu. Inamaana hujui maana ya fumanizi? mpaka watamke ngono? hacha utoto, au ulishawahi kunanii na dada/kaka yako?(hapo jifanye kuuliza maana yake), are you not great thinker?
Kweli wewe ni great thinker...Na kama ingekuwa umeulizwa wewe nadhani ungekuwa greater thinker...
 
Wazazi wengi sasa wanapenda watoto hadi kuwapendelea......hilo ni tatizo na watoto wengi sasa wanashindwa kutofautisha wakati wa kuanza ''matusi'' kama tulivyokuwa tukiita sisi miaka yetu under 20. Siyo ajabu hao walianza miaka 5 iliyopita hadi wakajisahau na kufumaniwa
 

Hii dunia imekwisha mimi nilishuhudia mwaka 2011 Dada mmoja alitembea na shemeji yake aliyemuona Dada yake wa tumbo kisa walikuwa wanaishi pamoja, Bwana mkubwa naye hakuchelewa bila aibu akatekeleza alichokusudia ikawa mzozo kwa familia ila lakini baada ya mwaka mmoja 2012 Bwana mkubwa akaenda kusoma mkoa falani hapa hapa nchini na yule binti akaenda mkoa ule ule, kila binti akifunga chuo anaenda kuishi kwa Bwana mkubwa duh!ilikuwa timbwili timbwili kwa hiyo familia.
 
ni wazazi bestito au watoto wenyewe kwani hujawahi sikia kuwa baba amembaka bintie mwenye miaka 5 sasa hao wakubwa kiasi hicho kuna nini hapo

ndo bikira ishatolewa kwa huyo binti na kaka yake ameamua kumla yeye kabla ya shemejie kuonja tunda
Nani wa kulaumiwa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…