Kaka afumaniwa na dada ake

Hao watoto wamekengeuka wanastahili kukumbushwa maadili yafaayo.tatizo ni uleo na technolojia ya kuona vishawishi na matakataka ya dunia
 
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.

Anti Bilali aka shoga maarufu Dar mtoto wa kinondoni, Baba yake mzazi ni Imam wa masjid Mtambani. Acha kurusha mawe ukiwa ndani ya jumba la vioo ndugu.
 
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?

Anti Mohamed aka anti Mudi, Rashida(rashid), Bilali, Asia Daruwesh, Hasan Kopa, Bilali, Mabasha na mtoto si rizki, ngese ni makasisi?
 

Tulia weee,wameambiwa na Mganga,mali nje nje hapo.
Kuna mkoa mmoja kusini Wazazi na watoto wao walikuwa wanagegedana ili wapate mali
 
Huyu kaka ndio tatizo 21yrz wanawake kibao unaishia kumlala dada yako pumb...u zke.kuna pepo baya limepita tabata ngoja mzee w hammer aje kuwaombea
 
Anti Bilali aka shoga maarufu Dar mtoto wa kinondoni, Baba yake mzazi ni Imam wa masjid Mtambani. Acha kurusha mawe ukiwa ndani ya jumba la vioo ndugu.

we kafiri kutukana haisaidii chochote,huyo mtoto amejifunza kutoka kwa makasisi kila siku wanatangazwa kwenye tv wanalawiti watoto.
 
Maana yangu ni hii... Mzazi ukikuta wanao wanadharirika usiwadharirishe zaidi., tafuta namna ya kuwasitiri.


Ok...nan wa kulaumiwa?!
Wazazi/walezi au watoto?
Hapo naona umesema nini kifanyike
 
Mhh tatizo ni watoto kulelewa na utandawazi...TV, Internet, nk. Bila shaka 'watoto-wakubwa' walikuwa wanafanya practical baada ya kusoma theory kwenye utandawazi.
 
Dini zinahusika vp hapa mbona mwachanganya mada.kwanza mwajua hao ni Christian au Muslim. Kwanza mwajua wamefumaniwa wanafanya nn naona maneno yawatoka tu.wamefumaniwa wanakunywa maziwa ya mtoto
 
Hivi kwanini Comments zinaelekezwa kushambulia dini nyongine????
 
Mi ningependekeza ikiletwa habari isoyohusiana na mambo ya kidini halafu akatokea honeythi mmoja akaanza kuzungumzia udini ni bora kutomjibu ili mjadala uendelee kama ilivyokusudiwa. Kumbuka siku zote kukaa kimyaaa ni............??
 
Uwiiiii Mungu niepushie hiyo laana kwa wanangu.Sasa sijui ni malezi au sijui ni nini tu jamani kimewakumba hao watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…