Kaka afumaniwa na dada ake

Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.

kama akili ni nywele wewe zako ni za chini, zimefichwa hazina cha kufikiria!
 
Hizo story tuu! Nashangaa unasahau mapema sana! Ushoga uliokithiri hapo Zanzibar na Mombasa ni wakristo? Zaidi ni kwamba kuna shoga alihojiwa clouds FM kipindi cha njia panda wateja wake wakuu ni waarabu wa mwanza alikokulia na hapo tusemeje?

Kwani waarabu ni dini au ni kabila
 
Hizo story tuu! Nashangaa unasahau mapema sana! Ushoga uliokithiri hapo Zanzibar na Mombasa ni wakristo? Zaidi ni kwamba kuna shoga alihojiwa clouds FM kipindi cha njia panda wateja wake wakuu ni waarabu wa mwanza alikokulia na hapo tusemeje?

Vatican kunazidi zanzibar kwa skendo na ushabiki wa ushoga fanya tafiti!
 
kama akili ni nywele wewe zako ni za chini, zimefichwa hazina cha kufikiria!

thats it Maadili yanachangia 100%.Mtoto wa kiislam hawezi fanya hivo huyo atakua anawaiga wale makasisi wa Vatican kwa kunajisi wa22.
 
Naona walikuwa wanaangalia tamthiria na baada ya hapo wakaenda kupractise
 
ni sakata la mwaka , dada kamtaka kaka, kaka nae katamani kasema ondoa shaka. Dunia ina mambo-Lameck Ditto.
 
Beware incest is an offence provided maximum sentence of 30 yrs imprisonment by sospa,also penal code(cap 16) defines offence under section 5 concurrent with section 158 $ 160 provides for incest offence,hence those accused persons can be taken for court action
 
Usikute watoto wa Mchungaji Mushi,,,

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Dare to talk openly,wamefumaniwa wanafanya nini?Wanakomba mboga,wanakwiba pesa,wanauza tv etc?Kwanini mnawapiga!

hata mi nashangaa mkuu maana hizo ni personal issue,hawajaiba wala kumdhuru mtu
 
short and clear!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…