Mkuu mbona hawa aliumbiwa hapahapa duniani
Soma mwanzo

Nini hakina mantiki hapo??..Jibu lake halina mantiki
hiki kitabu kingewekwa kwenye biblia kingeongeza chuki zidi ya wanawakeUkisoma "The book of Adam and Eve" (Hakipo kwenye biblia ya kawaida),Utakuta mistari hii hapa chini.
2 And thereafter, Cain slew Abel, but Adam was then one hundred and thirty years old, but Abel was slain when he was one hundred and twenty-two years. And thereafter Adam knew his wife and he begat a son and called his name Seth.
xxiv 1 And Adam said to Eve, 'Behold, I have begotten a son, in place of Abel, whom Cain slew.'
2 And after Adam had begotten Seth, he lived eight hundred years and begat thirty sons and thirty daughters; in all sixty-three children. And they were increased over the face of the earth in their nations.
Hapo utaona Adam alizaa watoto 63 jumla wakike 30 na wakiume 33,walioana wao kwa kwao na kuzaliana.So kuna uwezekano mkubwa pia Cain alimuoa moja ya dada zake pia.
Hao watoto 63 wote walizaliwa na Eva?Ukisoma "The book of Adam and Eve" (Hakipo kwenye biblia ya kawaida),Utakuta mistari hii hapa chini.
2 And thereafter, Cain slew Abel, but Adam was then one hundred and thirty years old, but Abel was slain when he was one hundred and twenty-two years. And thereafter Adam knew his wife and he begat a son and called his name Seth.
xxiv 1 And Adam said to Eve, 'Behold, I have begotten a son, in place of Abel, whom Cain slew.'
2 And after Adam had begotten Seth, he lived eight hundred years and begat thirty sons and thirty daughters; in all sixty-three children. And they were increased over the face of the earth in their nations.
Hapo utaona Adam alizaa watoto 63 jumla wakike 30 na wakiume 33,walioana wao kwa kwao na kuzaliana.So kuna uwezekano mkubwa pia Cain alimuoa moja ya dada zake pia.
Ww una pointSoma Biblia vizuri, ukishindwa jaribu kuongea na viongozi wako wa dini.
Changamoto ipo ktk usomaji wako, na pia kuna changamoto ya kimapokeo na lugha yetu adhimu kutokuwa na misamiati ya kutosha.
Adamu na Eva walikuwa kama reference point ya biblia, watu wengine wanaozungumziwa na Kaini hawakuwa ndugu zake.
Kimapokeo, Wayahudi wakati wa Adamu na Hawa hawakuwah3sabu watu wengine wasio Wayahudi kama watu.Natumai ni mzima na unaendelea vyema na majukumu, Kama unaumwa utapona kwa uwezo wa muumba wako.
HOJA YA MSINGI:
“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:
(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”
(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.
(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.
(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.
(5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.
Naomba majibu tafadhari.
Kwann wanawake hawakua wakihesabiwa?Mbona hili swali Lina majibu rahisi tu kutoka kwenye biblia? Soma biblia Kuna mifano mingi kuonesha idadi ya watu.
Mfano Yesu alipolisha mikate watu elfu tano, biblia inasema watu elfu tano kuacha wanawake na watoto. Kumbe yawezekana wanawake na watoto walikuwa wengi kuliko " WATU ELFU TANO".
Maana Yake wanawake walikuwa hawahesabiwi ndo maana hatujui huko Kaini alikooa kulikuwa na wanawake wangapi.
Kaini alipata Mke kutoka kwenye viumbe waliokuwepo waliitwa Wanefli , walikuwa na maumbo makubwaila walifanana nawanadam,Kabla ya uumbaji wabinadamu walikuwepo viumbe wengine,Natumai ni mzima na unaendelea vyema na majukumu, Kama unaumwa utapona kwa uwezo wa muumba wako.
HOJA YA MSINGI:
“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:
(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”
(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.
(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.
(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.
(5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.
Naomba majibu tafadhari.
Natumai ni mzima na unaendelea vyema na majukumu, Kama unaumwa utapona kwa uwezo wa muumba wako.

Kabla ya uumbaji was mwanadamu walikwepo viumbe wengine waliitwa wanefli, walikuwa watu wenye nguvu sana, Hivyo kaini alijipatia Mke kutoka kwa viumbe hao,soma kitabu cha Mwanz 6:1 na kuendelea utaelewa kuwa kulikuwa na viumbe wengine,Natumai ni mzima na unaendelea vyema na majukumu, Kama unaumwa utapona kwa uwezo wa muumba wako.
HOJA YA MSINGI:
“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:
(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”
(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.
(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.
(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.
(5) “Baadaye” Kkaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.
Naomba majibu tafadhari.
Huyu bro alinoboa tuu pale alipo muua nduguye baada ya kupekelewa kwa sadaka yake.Huwa simpendagi huyu,ndiyo chanzo cha maovu ya mauaji labdaNatumai ni mzima na unaendelea vyema na majukumu, Kama unaumwa utapona kwa uwezo wa muumba wako.
HOJA YA MSINGI:
“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:
(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”
(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.
(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.
(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.
(5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.
Naomba majibu tafadhari.
Haaa haa ,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Waandikaji waliandika enzi za ujinga ndio maana leo unasoma mstari kwenye Biblia mpaka unajikuta unacheka mwenyewe
Weka uthibitisho mkuuKimapokeo, Wayahudi wakati wa Adamu na Hawa hawakuwah3sabu watu wengine wasio Wayahudi kama watu.
Hivyo, kulikuwa na watu wanaishi kabla ya Adam na Hawa na hawa watu waliishi pembeni ya famikia hii.
Hivyo, si ajabu kwambq Kaini alienda huko na kupata mke.
Habari ya kwamba Adam na Hawa ni hekaya ya mwanzo wa Wayahudi tu. Si fact.
Kuna watu waliiishi Africa maelfu na maelfu ya miaka kabla ya wakati unaosemwa Adam na Hawa waliishi. Hili limethibitishwa.
Mkuu kitabu gani hicho?
Kabla ya uumbaji was mwanadamu walikwepo viumbe wengine waliitwa wanefli, walikuwa watu wenye nguvu sana, Hivyo kaini alijipatia Mke kutoka kwa viumbe hao,soma kitabu cha Mwanz 6:1 na kuendelea utaelewa kuwa kulikuwa na viumbe wengine,