Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,
"Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais kibali kitaombwa tume na (2) kwa uchaguzi wa Mbunge au Udiwani kibali kitaombwa kwa msimamizi wa uchaguzi"