The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
Hii ni kwa watafutaji na wazee wa fursa.
Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji?
Tunduma-Ina wakazi zaidi ya laki 2 na ni Mji wa mpakani unaokua Sana kwa kutegemea zaidi biashara za mpakani.
Kahama-Ina wakazi zaidi ya laki 3.5 na ni Mji wa biashara unaokua Kwa kutegemea zaidi biashara za madini.
Kwa Maoni yangu, Tunduma is much better na iko more promising kuliko Kahama.
Idadi tuu ya magari yaliyoko Tunduma ni pesa tosha kwa biashara ya Hotels,Guest Houses,parking na Migahawa na watu hasa Madereva wanaotoka Dar na pesa kuja ku spend wakiwa njiani kupeleka mizigo Kusini mwa Africa.
Tunduma Border ya Wajanja na lango kuu la SADC 👇