Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Usifananishe tunduma na vitu vya ajabu ajabu.🤣 alisikika jamaa ambaye ni mnyiha wa mlowo mbozi.

Jamaa wa kahama yeye anasema hiyo tunduma ifananishe na kondoa ndio level yake.
Picha ndio zinaongea sio porojo..

Ujenzi wa Shule za ghorofa Tunduma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220903-085221.png
    Screenshot_20220903-085221.png
    168.3 KB · Views: 47
  • Screenshot_20220903-091438.png
    Screenshot_20220903-091438.png
    195.3 KB · Views: 57
Karibu border ya wajanja, karibu mji wenye mpaka na Malawi na Zambia pia ndo get way to Congo and south Africa. Karibu mji wenye trucks I mean ma lories mengi yanayopita kwenda nje, karibu kwenye border kubwa Tanzania nzima! Kahama pazuri ki madini kama uko sector hiyo Tunduma pazuri kibiashara , clearing and Kilimo maana ni sehemu ya basket ya Taifa.
 
Nasikia tunduma kumenoga kibiashara miaka hii, Mara ya mwisho kwenda mwaka 2002 nikiwa na age 27, palikuwa bize Sana kibiashara ,kipindi hiko tulikuwa tunadili na vitenge na vipodozi kuleta dar
Kwa sasa Tunduma kuna biashara zaidi kuliko ilivyokuwa zamani maana Mji umekuwa mkubwa kweli kweli.
 
Karibu border ya wajanja, karibu mji wenye mpaka na Malawi na Zambia pia ndo get way to Congo and south Africa. Karibu mji wenye trucks I mean ma lories mengi yanayopita kwenda nje, karibu kwenye border kubwa Tanzania nzima! Kahama pazuri ki madini kama uko sector hiyo Tunduma pazuri kibiashara , clearing and Kilimo maana ni sehemu ya basket ya Taifa.
Sweet home 👇
 

Attachments

  • Tanzania-Back-page.jpg
    Tanzania-Back-page.jpg
    129.6 KB · Views: 48
  • Screenshot_20220903-122131.png
    Screenshot_20220903-122131.png
    132.6 KB · Views: 50
  • Screenshot_20220903-122729.png
    Screenshot_20220903-122729.png
    183.4 KB · Views: 52
Yote ni Miji Mikubwa lakini ukae ukijua Kahama ni Halmashauri ya Manispaa. Sasa ni vyema mleta maada utuambie ni vigezo gani vinatumika mji kupewa hadhi ya manispaa
Kigezo kilikuwa mihemko ya Jiwe..

Hata hivyo Miji mingi kwa Sasa ina vigezo na hadhi za kuwa Manispaa ila sasa Rais kasema hana mpango wa kupandisha hadhi Wala kumega maeneo.
 
Hakuna mtu anasema kuna maajabu lakini nadhani Tunduma ni zaidi ya Kahama..

Mji umekuwa mkubwa kiasi chake kwa sasa na unakua kwa Kasi kuliko hapo zamani.

Nikifika kahama kwanza ndo ntajua km kuna utofauti wa hio miji miwili
wewe ulishafika khm au unaleta ushabiki tu?!
 
Huduma za afya Tunduma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220903-092001.png
    Screenshot_20220903-092001.png
    169.4 KB · Views: 39
  • Screenshot_20220903-091747.png
    Screenshot_20220903-091747.png
    322.7 KB · Views: 45
  • Screenshot_20220903-090709.png
    Screenshot_20220903-090709.png
    264.6 KB · Views: 45
Nimewahi lala sehemu inaitwa sijui Mpemba au sikosei kwa Mpemba

Sina hamu na Tunduma

Guest chafu chafu sana sana

Pale Tunduma kwenyewe sikuona jipya zaidi ya watu wanaobadilisha Fedha za kigeni

Hivi jamani watu huwa mnatembea kweli?

Tunduma hii ya Mbeya ilivyochoka vile unaleta ushabiki

Mbeya mjini tu choka Mbaya sana, Nyumba hazina mpangilio
Yani katikati ya jiji la Mbeya asilimia kubwa ya nyumba za pale zimejengwa kwa tofali za kuchoma
 
Back
Top Bottom