Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Kahama

CRDB 2 branches
Nmb 2 branches
Azania 2 branches
NBC
TPB
DTB
AMBT
BOA
Equity
Finca
KCB bank now in town

BOT.........loading

Standard Chartered (Kakola)
Eti BoT loading 🤣🤣 ,BoT sio Saccos .

KCB Iko Tunduma kitambo sana ,labda DTB ndio sijawahi kuona na ukute ipo maana nimeondoka Tunduma kitambo.
 
Hii ni kwa watafutaji na wazee wa fursa.

Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji?

Tunduma-Ina wakazi zaidi ya laki 2 na ni Mji wa mpakani unaokua Sana kwa kutegemea zaidi biashara za mpakani.

Kahama-Ina wakazi zaidi ya laki 3.5 na ni Mji wa biashara unaokua Kwa kutegemea zaidi biashara za madini.

Kwa Maoni yangu, Tunduma is much better na iko more promising kuliko Kahama.

Idadi tuu ya magari yaliyoko Tunduma ni pesa tosha kwa biashara ya Hotels,Guest Houses,parking na Migahawa na watu hasa Madereva wanaotoka Dar na pesa kuja ku spend wakiwa njiani kupeleka mizigo Kusini mwa Africa.

Tunduma Border ya Wajanja na lango kuu la SADC 👇

View attachment 2345436
 
CC @mdazi,kina Kitombile Mikdde etc wamekimbia hili jukwaa baada ya Kahama Yao kupigwa za uso na Tunduma.

View: https://www.instagram.com/p/C5ox_E5tODk/?igsh=MTRuaXB0dnc4Y2FzZg==
 
Tunduma-Mwanza
1359322576.jpg
1521465142.jpg
 
Back
Top Bottom