Serikali ya Tanzania na Zambia tafuteni Private Operators wa Mpaka wa Tunduma/Nakomde, kuna upuuzi mwingi sana unaendelea

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,121
49,844
Mambo ya kipuuzi na ya hovyo.kama.haya ya urasimu mara zote huletwa na maofisa wa Serikali..

Kubadili maafisa hakujawahi leta faida hapa Tunduma,unajua Kwa nini ni Kwa sababu hao watu wa Serikali hutumia kama shamba la bibi la kuvunia pesa na wanalindana..

Nitoe wito Kwa Serikali za Zambia na Tanzania kutafuta Private Operators wa Mpaka wa Tunduma/Nakonde na ule wa Namanga..

Mtaboresha hapo Bandarini harafu mnakuja Kukwama tena Mpakani inakuwa hakuna kilichofanyika..

Kwani waarabu wa do world hawapo? Wapeweni tu sisi ni wazito wakuelewa vitu.
 
Mambo ya kipuuzi na ya hovyo.kama.haya ya urasimu mara zote huletwa na maofisa wa Serikali..

Kubadili maafisa hakujawahi leta faida hapa Tunduma,unajua Kwa nini ni Kwa sababu hao watu wa Serikali hutumia kama shamba la bibi la kuvunia pesa na wanalindana..

Nitoe wito Kwa Serikali za Zambia na Tanzania kutafuta Private Operators wa Mpaka wa Tunduma/Nakonde na ule wa Namanga..

Mtaboresha hapo Bandarini harafu mnakuja Kukwama tena Mpakani inakuwa hakuna kilichofanyika..

Nchi hii inawashinda CCM sasa.
 
Back
Top Bottom