Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwanza wangekuwa hawana sgr hapo ingekuwa ni huzuni, lakini unaanza kutamba hata wakandarasi hawajaingia site.
Swala sio wao kuingia site Bali kuchukua oparesheni itaongeza Ufanisi na ubora kama zamani.

Pili Sgr ya huko sio lazima kwamba iwe ya umeme Bali inaweza kuwa kama ya Kenya
 
Swala sio wao kuingia site Bali kuchukua oparesheni itaongeza Ufanisi na ubora kama zamani.

Pili Sgr ya huko sio lazima kwamba iwe ya umeme Bali inaweza kuwa kama ya Kenya
Jiandae kutumia mafuta, na mtavuta sana gas ya ukaa, acha sisi tuburudike na sgr ya umeme kwa afya bora na akili kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…