Kwani umesikia imeisha, kwasasa tumeona faida lukukiKwenu imeshawa facilitate?ππ
Kwani umesikia imeisha, kwasasa tumeona faida lukuki
1. Imeongeza ajira watu wanajenga na kulisha familia zao
2.imeongeza mzunguko wa pesa na kuinua uchumi kwa jamii husika
3.imewaongezea vijana ujuzi
4.imeanza kupendezesha na kuinua miundombinu mfano Mwanza tumepata viaduct ya 1.5km kupitia hii sgr
5.imesababisha baadhi ya miji kutanuka mfano pale fella palikuwa ovyo lakini sasa panalingana na goba.
Hiyo ni morogoro au ni sehemu ya kusini?Cc Kitombile Mikdde Istanbul
View: https://youtu.be/hOwTO9TwQAA?si=kfM-0BMiYNpssypF
Picha zake ni kama hizi πView attachment 2802762View attachment 2802763
We punga nini,nimekuwekea video Kwa Ajili ya nini hasa? Si mlikuwaga mnalingia Hutu tumajengo twa Vituo Jumuishi?Hiyo ni morogoro au ni sehemu ya kusini?
Punguza stress, haya mambo hayatak hasira, kwanini usilete jengo la uko mbeya ukaleta la morogoro.We punga nini,nimekuwekea video Kwa Ajili ya nini hasa? Si mlikuwaga mnalingia Hutu tumajengo twa Vituo Jumuishi?
Niliwaambia Majengo hayo yatajengwa Nchi nzima,saizi mnaumbuka na maumivu juu.
Mwisho gulio la Kahama kamwe halitakuja kupata miundombinu kama hii.
Mbeya Bado halijajengwa we mbuzi,awamu ya pili Kuna Mikoa 8 lazima Mbeya na Rukwa itakuwepo.Punguza stress, haya mambo hayatak hasira, kwanini usilete jengo la uko mbeya ukaleta la morogoro.
Ungekuwa na akili japo kama za kenge ungeelewa nachomaanisha tatizo, unakurupuka kama fisi maji, nimekuuliza kwanini ulete miradi ya mikoa mingine kwani ipo kwenye battle.Mbeya Bado halijajengwa we mbuzi,awamu ya pili Kuna Mikoa 8 lazima Mbeya na Rukwa itakuwepo.