Kahama VS Njombe/Mafinga

Hii daladala inasafari za kwenda maeneo gani ya huko mbeya?
Dar-Mbeya-Tunduma-Lusaka-Harare-Jozbg.

Chuma la maana kama Hilo Benz Wasukuma mtaishia kuona kwenye video kama hivi,humo hupandi na mbuzi,hiyo sio Mohamed Trans πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Endeleen kutupostia mabasi...bukoba ishatoka huko....

Ili ni shirika jipya la ndege Tanzania..
Bukoba ni moja ya miji ya kwanza kuanzisha safari zake...Tazama nauli sasa...na itakuwa inajaa...nyinyi baki na takwimu zenu eti kagera hawapati hata 3000 kwa sikuπŸ˜‚πŸ˜‚...
Bukoba kuna mashirika manne ya ndege yenye safari kila siku
1. Air Tanzania hii ni mara mbili kwa siku
2. Precision Air..kila siku
3. Fastlink kila siku
4. AUric kila siku...

usije na hoja kuwa ni mbali...Musoma, kigoma, mbeya, Tabora , kahama, katavi, sumbawanga hata airport hawana, njombe hata airport hawana nk lakin hata mashirika madogo hayaendi huko...
SHIDA NI VIPAT VIDOGO
 

Attachments

  • Screenshot_20231101-071621.jpg
    92.2 KB · Views: 3
Bukoba ni maskini usiwe unaongea mbele ya Wanaume unajidhalilisha.

View: https://twitter.com/djnsajigwa/status/1719611240887030145?t=Wu8m82aV6JXTZraK1wOy5A&s=19
 

Attachments

  • Screenshot_20231101-071621.jpg
    92.2 KB · Views: 2
Subiri sasa uje kuona huo uwanja mkubwa hata uwanja wa kucheza ndondo utakuwa na afadhali hii nchi unaijua unaisikiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Njombe ni Mkoa wa wapambanaji usilinganishe na Magulio kama Kahama.
 
Hebu leta makanpuni ya ndege yanayoelekea huko Kusini...Toa Air Tanzania na Precision ambazo nazo hazijaiπŸ˜‚πŸ˜‚


Nauli ya mtu ni mmoja ni nauli ya watu 15 wa bus moja hapo
Kampuni zote Zinaenda ,ATCL Kwa Sasa Ina daily flights na Baadhi ya siku inaenda twice a day
 

Attachments

  • Screenshot_20231101-123622.png
    1,003.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231101-123717.png
    969 KB · Views: 4
Kwa kweli Hatuwezi kupinga Hilo mnatuzidi sana sana 😁😁😁😁View attachment 2800053
Nilijua utakimbilia kwenye takwimu za kupikaπŸ˜‚

So kwa makazi haya ya mbeya ndo kila mtu anakipato cha more than 4million? ...
Kama haya ndo maendeleo na kagera ibaki kuwa ya mwisho tu
Compare and contrast...
Picha 1...Mbeya
Picha 2...Bukoba
 

Attachments

  • Screenshot_20231020-085458.png
    991.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230514-144654.jpg
    85 KB · Views: 8
Nilijua utakimbilia kwenye takwimu za kupikaπŸ˜‚

So kwa makazi haya ya mbeya ndo kila mtu anakipato cha more than 4million? ...
Kama haya ndo maendeleo na kagera ibaki kuwa ya mwisho tu
Compare and contrast...
Picha 1...Mbeya
Picha 2...Bukoba
Ukioikiwa wewe kulaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jifunze ku post unatuumiza macho
 
Ukioikiwa wewe kulaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jifunze ku post unatuumiza macho
Leo unifundisha mimi kupostπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..

Anyway sasa hiv Bukoba kunajengwa stendi nzr sana ya daladala hapo mjini Bukoba...kufikia mwakani mwezi wa sita Bukoba ndo mji utakaokuwa na stendi nzr zaidi ya daladala Tz nzima ukitoa tu Mwenge pale Dar...

Stendi kuu pia itajengwa mpya nzr saba
Ujenzi ukiendelea

View: https://youtu.be/7ZTH29imLeg?si=j0aafmfJ_zCd9cla
 

Attachments

  • Screenshot 2023-10-28 031206.png
    1.6 MB · Views: 6
  • Screenshot 2023-10-28 031628.png
    1.6 MB · Views: 5
Nimekwambia jifunze ku post picha unakera maana unatuumiza macho.

Wewe unaona hizo picha ziko sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…