ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,376
- 85,216
- Thread starter
-
- #17,561
Mbeya ni next level sio ya kulinganishwa na Mbeya Kwa SasaLeta dual kama hiyo zizini mbeya hata ya 1km kama ya misungwi.
Ili limji halina tofauti na mji ulionusurika na bomu la atomic ni mavumbi kila sehemu rangi ya bati hainonekani naona vumbi tu kila sehemu.Mbeya ni next level sio ya kulinganishwa na Mbeya Kwa Sasa
View: https://youtu.be/CnXQOOg-_zs?si=zSnKJbDbkQCoIcQb
🔨🔨🔨🔨😁😁😁😁Ili limji halina tofauti na mji ulionusurika na bomu la atomic ni mavumbi kila sehemu rangi ya bati hainonekani naona vumbi tu kila sehemu.
Hako kadaraja nenda katambiane na namtumbo, sisi tunavitu vya uzani wa juu, kuna mabey flyovers🔨🔨🔨🔨😁😁😁😁
Kuanzia mwakani uwe unakuja kupiga picha kwenye Dual Carriage ya ukweli.
Kale kadaraja ka kuvuka Kwa waenda Kwa miguu zitakuwa 2 Mbeya.
View: https://www.youtube.com/live/iJJA9NzMqTA?si=8ZV8xDS0JJyz7OEz
Pia kuna 1.5km via duct train inapita juu juu kama ipo angani endeleeni kupaukiana hapo zizini mbeya.🔨🔨🔨🔨😁😁😁😁
Kuanzia mwakani uwe unakuja kupiga picha kwenye Dual Carriage ya ukweli.
Kale kadaraja ka kuvuka Kwa waenda Kwa miguu zitakuwa 2 Mbeya.
View: https://www.youtube.com/live/iJJA9NzMqTA?si=8ZV8xDS0JJyz7OEz
Sasa ka viaduct for Sgr inaongeza value ipi hapo Big Slum Dampo la Mwanza kushinda Dual Carriage ya km 232? 😂😂😂😂Pia kuna 1.5km via duct train inapita juu juu kama ipo angani endeleeni kupaukiana hapo zizini mbeya.
Sasa kwani nilikuwa namaanisha nini tofauti na Mabey? Kama hicho kidaraja Cha hapo Furahisha japo sivipendi na wamenikera kuviweka but sio mbaya kuanzia ,tunataka Flyover.Hako kadaraja nenda katambiane na namtumbo, sisi tunavitu vya uzani wa juu, kuna mabey flyovers
Jinga number moja hapa EA hakuna mji wenye dual carriage za namna hiyo eti leo mpewe nyie mbeya.Sasa ka viaduct for Sgr inaongeza value ipi hapo Big Slum Dampo la Mwanza kushinda Dual Carriage ya km 232? 😂😂😂😂
Hapo mbeya hakuna mji wenye hadhi ya flyover nyie ongezeni ujenzi wa matundu ya vyoo na madarasa.Sasa kwani nilikuwa namaanisha nini tofauti na Mabey? Kama hicho kidaraja Cha hapo Furahisha japo sivipendi na wamenikera kuviweka but sio mbaya kuanzia ,tunataka Flyover.
Ilo daraja kama la furahisha siku mbeya mkipewa nitavua nguo na kupega punyeto pale kariakoo tena hadharani.Sasa kwani nilikuwa namaanisha nini tofauti na Mabey? Kama hicho kidaraja Cha hapo Furahisha japo sivipendi na wamenikera kuviweka but sio mbaya kuanzia ,tunataka Flyover.
Naitafuta video inayoonesha plan ya Barabara Ili nikukomeshe,stay tuned unaposubiria endelea kusikiliza hapa 👇Ilo daraja kama la furahisha siku mbeya mkipewa nitavua nguo na kupega punyeto pale kariakoo tena hadharani.
Maumivu ya wivu 🤣🤣🤣🤣Hapo mbeya hakuna mji wenye hadhi ya flyover nyie ongezeni ujenzi wa matundu ya vyoo na madarasa.
Hivi wewe unachobisha ni nini? Sawa utakuwa nakupa updatesJinga number moja hapa EA hakuna mji wenye dual carriage za namna hiyo eti leo mpewe nyie mbeya.
Huna cha kunikomesha wewe kasuku maneno mengi kwenye ground naona mavumbi tu.Naitafuta video inayoonesha plan ya Barabara Ili nikukomeshe,stay tuned unaposubiria endelea kusikiliza hapa 👇
View: https://youtu.be/7f65iTSmdP4?si=sRZVsFC2u9K6ZTfl
Nionee wivu dustbin hiyo.Maumivu ya wivu 🤣🤣🤣🤣
Sitak ngonjera nataka kazi weka picha sio kuniimbia ushairi.Hivi wewe unachobisha ni nini? Sawa utakuwa nakupa updates
Acha upumbavu wewe,hicho unachoona ni nini?Huna cha kunikomesha wewe kasuku maneno mengi kwenye ground naona mavumbi tu.
Naona condom iliyopasuka.Acha upumbavu wewe,hicho unachoona ni nini?
Hii daladala inasafari za kwenda maeneo gani ya huko mbeya?