Kahama VS Njombe/Mafinga

Maxence Melo huu uzi mbn unajaza server kwa haya mapichapicha.

nyie maPR mbn mnakuwa short-sighted ivo? kwani uko mliko hamuwez kuwa na website ya mikoa yenu au taasisi zenu wadau wenu wakawafuata uko?

Pelekeni ayo mapicha uko jamani. khaa!
 
Acha ushambenga, Misungwi nayo inakula 1.16 km dual carriage kuelekea kwenye daraja la JPM, then sengerema inalamba 0.5km, Mwanza inakuja kupigwa 15km dual carrige japo kwa sasa hatuna, lakini ilemela wana dual carriage ya 10km.
Ziko Wapi? Kama ni mipango ipo Kila Mkoa 🀣🀣🀣

Kigoma pia ujenzi unaendelea wa Dual Carriage,Mwanza hakuna 😁😁

Naomba picha za Ilemela dual Carriage nikupe wife wangu Bure πŸ˜†πŸ˜†
 
Ziko Wapi? Kama ni mipango ipo Kila Mkoa 🀣🀣🀣

Kigoma pia ujenzi unaendelea wa Dual Carriage,Mwanza hakuna 😁😁

Naomba picha za Ilemela dual Carriage nikupe wife wangu Bure πŸ˜†πŸ˜†
Tatizo unakurupuka sasa natuma picha alafu unipe namba za ilo kulumbembe lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…