Punguza jazba Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa na ukiangalia hatutendewi haki Mwanza jiji inapata 14km hii ni haki kweli? Na mji kama tunduma nawenyewe umepata kilometa 14 sawa na Mwanza cc, huoni sio sawa.
Kwenye bandikk wamesema mitaro pande zote za barabara lakini sijaona mkataba wa kujenga kingo za mto mirongo kama tulivyoambiwa ambazo ni zaidi ya 9km.