ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,412
- 88,497
- Thread starter
-
- #17,381
Naona zimekula poz check point makambako
Huyo Jamaa vibasi viko 2 ila promo.lake Sasa Wanazi wa Sauli wakapime ππNaona zimekula poz check point makambako
Safi hii itapunguza hata msongamano wa maroli maana HiYo itakuwa ya bandari kavu ya tatu nyanda za juu kusini maana wanajenga makambako na fidia wamesha lipa na nyumba wamebomoa Kuna inyara mbeya fidia bado na HiYo ya mpemba
Sema yule jamaa pesa ipo ndo maana kajaza wapambe yeye ana deal na ukandarasiHuyo Jamaa vibasi viko 2 ila promo.lake Sasa Wanazi wa Sauli wakapime ππ