Kahama VS Njombe/Mafinga

Chuma hicho ubaruku ,makambako dsm ruti ambayo now inakuja moto sana kampuni nyingi zilizokuwa njombe zimeingiza magari ruti hii mfano njombe exp,sweet Africa nk hii saiz inakuwa kampun ya sita hichi kipande now kina ongezeko la abiria na Zina wahi kutoka zinatangulia had za njombe maana makambako igawa ni km 53 wakati makambako njombe hadi stendi kuu ni km zaidi ya 60 matajiri weng wameanza kupachika hichi kipande
 
Wakiweka Lami Ile Barabara ya Mafinga-Madibira Bus zote zitapitia njia Ile au ya Igawa itakuwa ni kuchagua.
 
Ziorodheshe hizo kampuni tuzijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…