Mbeya ni sehemu ya malawi kama sio Zambia.Uzuri kasema mbeya...sio Tz...
Maana Tz hii hakuna shule yenye mabasi Bora na ya kisasa kama Kaizirege na mwenzake Kemebos...
Bado na Adolph kolping Bukoba ina mabasi mazuri kushinda hio shule yako
Hilo basi utafikiri linasfirisha mazombie, basi gani baya namna hilo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah we jamaaHilo basi utafikiri linasfirisha mazombie, basi gani baya namna hilo.
Hiv hizo tactic zinaanza lini...Hiv mbeya ujenzi wa barabara ushaanza au bado mobilization [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilishasema kwamba stendi ya bukoba haiwezi kujengwa kwa sababu ni mtego wa kuombea kura kila msimu, Mungu atupe uhai utakumbuka haya maneno.Hiv hizo tactic zinaanza lini...
Maana nimekuwa disappointed ujenzi wa stendi kuu ya Bukoba kupigwa stop...eti wasubiri mradi wa tactic....
Nadhani kuna watu wananufaika miundombinu ya baadhi ya miji ikibaki mibovu...
Bukoba sasa ni kiangazi...ni muda mzr wa ujenzi wa vitu kama stendi...lakin nchi hii basi tupu...
Nitashangaa sana TanRoads wakishindwa kujenga cheap flyover kama.hii hapa pale Mafiati,Meta na Uyole View attachment 2700282
Hii safi sana ,kawalingishie WakunyaKashura hills Bukoba...View attachment 2700219
Mwezi wa 8 ila hiyo ni miradi ya kuombea kura 2025 so Haina haraka sana.Hiv hizo tactic zinaanza lini...
Maana nimekuwa disappointed ujenzi wa stendi kuu ya Bukoba kupigwa stop...eti wasubiri mradi wa tactic....
Nadhani kuna watu wananufaika miundombinu ya baadhi ya miji ikibaki mibovu...
Bukoba sasa ni kiangazi...ni muda mzr wa ujenzi wa vitu kama stendi...lakin nchi hii basi tupu...
Mbeya is coming up strongly ,imekanyaga Mwanza Kwa uwekezaji in terms of Value 🔥🔥🔥
Hayo ya burundi hayana quality kuizidi hasi na hayana market duniani isipokuwa na makubwa sanaNjombe tunafeli wapi?