Kahama VS Njombe/Mafinga

Nani kasema Bukoba kuna stendi?

Acha kupaniki...mimi nimeongea uhalisia wa makambako...ule mji ni future slum tu...

Nami nikikuuliza huko njombe sijui makambako kuna Airport? Kuna mji wowote hata wenye hadhi ya municipality?
Airport ipo halmashauri ya mji njombe
 
Nani kasema Bukoba kuna stendi?

Acha kupaniki...mimi nimeongea uhalisia wa makambako...ule mji ni future slum tu...

Nami nikikuuliza huko njombe sijui makambako kuna Airport? Kuna mji wowote hata wenye hadhi ya municipality?
Haya mji umeanza 2012 Leo hii una km 26 za lami ukijumlisha 12 km zinazo endelea kukamilishwa utajua mji una future gani 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇BILIONI 3.2 ZAIWEZESHA TARURA KUJENGA KILOMITA 51.28 ZA BARABARA MKOANI NJOMBE - Mhe. Ndejembi

Na: James Mwanamyoto (OR-TAMISEMI)

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Serikali ya Awamu ya Sita katika Mwaka wa Fedha 2022/23 ilitenga bilioni 3.2 zilizoiwezesha TARURA kujenga barabara za kiwango cha lami zenye urefu wa kilomita 51.28 mkoani Njombe.

Mhe. Ndejembi amesema hayo akiwa katika Halmashauri ya Mji Makambako, mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza na wakazi wa eneo hilo.

Mhe. Ndejembi amesema, kabla Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani TARURA ilitengewa shilingi bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa barabara mkoani Njombe, na kuongeza kuwa Mhe. Rais aliongeza bajeti iliyofikia shilingi bilioni 3.2 ili kuongeza wigo wa ujenzi wa barabara mkoani humo.

“Mhe. Makamu wa Rais katika kilomita 51.28 za barabara zilizojengwa mkoani Njombe wananchi wa hapa Makambako wamenuifa na kilomita 12 zilizojengwa katika mji huu wa Makambako,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Mhe. Ndejembi ameongeza kuwa, katika mwaka huu wa fedha 2023/24 Serikali imetenga bilioni 1 kwa ajili ya kujenga barabara za kiwango cha lami ambazo zitawekewa taa katika Halmashauri ya Mji wa Makambako.

Aidha, Mhe. Ndejembi amesema katika mwaka wa fedha 2021/22 Halmashauri ya Mji wa Makambako ilipokea zaidi ya shilingi milioni 470 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Kitisi.

Sanjali na hilo, Mhe. Ndejembi amesema katika kata ya Kitandililo Serikali imeleta milioni 583 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari na inaendelea na ujenzi wa kituo cha afya ambacho kimetengewa milioni 250 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wake.
 
Mkuu hebu tuzione hizo mall zilizoko makambako?

Unashangaa Bukoba? Vip kuhusu mbeya mnaloita jiji na halina hata shopping plaza hata moja?

Tanzania tunazidiwa hadi na uganda kwa malls...mji kama enttebe una mall kama saba hiv tena kubwa...na naiona Bukoba inaelekea huko huko....hata hapa dar ukiachana na mlimani na kidogo palm village kwingine ni under utilised...

Kwamba kabla ya 2012 njombe hazikuweko kabisa...mbona hazikukua hadi kushawishi serikali iipandeishe hadhi?
Achana na hizo excuse...
 
Kwamba kabla ya 2012 njombe hazikuweko kabisa...mbona hazikukua hadi kushawishi serikali iipandeishe hadhi?
Achana na hizo excuse...
Acha kuchanganya mada hizo km 26zipo ndan ya mji WA makambako makambako ilipewa mji ikiwa Haina hata kipande Cha lami mitaani zaidi ya main road tu
 
Makambako mall bado ujenz unaendelea na kipande hichi ndo kipo busy now na project hizo na around eneo hili tayar lami zimeshapigwa za kutosha ko ni mwendo wa project za gorofa na maduka ya kuzidi
 
Dar mall now zipo za kutosha
Dsm now zimeongezeka kiboko inayojengwa na wachina ubungo
 
Mb
Mbeya plaza ipo haipo mall nayo soon ujenz unaanza waliingia mkataba na nhc hii
 
Hiv Nyie watu wa njombe na bukoba mnazijua mall au mnajifariji tu humu
...nani akaweke mall njombe,,,, limekuwa soko la maparachichi au
 
Ko Ikijengwa mwanza ndo inakuwa mall Wacha watu wawekeze mzee ko kwenye mall Kuna supermarket ko parachichi utaziona tu
Hiv Nyie watu wa njombe na bukoba mnazijua mall au mnajifariji tu humu
...nani akaweke mall njombe,,,, limekuwa soko la maparachichi au
 
Hiv Nyie watu wa njombe na bukoba mnazijua mall au mnajifariji tu humu
...nani akaweke mall njombe,,,, limekuwa soko la maparachichi au
Tz hii kwa upande wa malls tuko nyuma sana....

Nenda Uganda hapo hata Zambia utazame malls zilivyojazana...na ziko fully parked...miji kama Entebbe sijui masaka ina malls nyingi na iko parked ..
 
Hiv Nyie watu wa njombe na bukoba mnazijua mall au mnajifariji tu humu
...nani akaweke mall njombe,,,, limekuwa soko la maparachichi au
Na Arusha wamesha wazidi baada ya Arusha mall,AM mall now imejengwa nyingine Sakina mall amshen matajili wenu wafanye fursa HiYo kama Wana Hela sio Muda wote kutegemea msaada wa tasisi za umma na dini ndo ziwaokoe njombe pesa ipo mjomba watu Wana pesa
 
Tz hii kwa upande wa malls tuko nyuma sana....

Nenda Uganda hapo hata Zambia utazame malls zilivyojazana...na ziko fully parked...miji kama Entebbe sijui masaka ina malls nyingi na iko parked ..
Ni Sahihi kabisa Zambia Wana mall za kutosha Ingia Lusaka tu pale mall za kuzidi bado miji midogomidogo Mall za kutosha Sasa sisi hadi inapelekea watu kukalili et mall zinajengwa kwenye majiji tu
 
Hii ni mall au vituko Tu...

Entebbe Uganda huku Tz ingekuwa municipality lakin check malls ilizo nazo na ziko full utilised
 
Tz hii kwa upande wa malls tuko nyuma sana....

Nenda Uganda hapo hata Zambia utazame malls zilivyojazana...na ziko fully parked...miji kama Entebbe sijui masaka ina malls nyingi na iko parked ..
Kwani Kuna ulazima wa kuwa na hivyo vi Mall vyenu? Naona mnashoboka sana what is so special?
 
Ni lazima ndio...au hujui maana ya shopping mall
Jinga kweli mall ni duka tuu ambalo unaweza pata mahitaji mengi hasa ya ndani eneo Moja.

Huo ulazima sijaiona maana ni utamaduni pia.

Mwisho huna Cha kunifundisha kwenye mall maana Mimi nimefanya kazi pale Uchumi Super Market Mtava na Segerea kipindi zipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…