ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,413
- 85,225
- Thread starter
-
- #16,861
Tarehe 04 Julai 2023 Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alishuhudia hafla ya utiaji saini wa mikataba 3 ya ufadhili wa program tatu nchini Tanzania na mapokezi ya msaada wa kibajeti wa Tsh. 117.039 bilion kwa ajili ya utekelezaji wa program ya green and smart cities SASA.
Hivi Mbeya kuna Bus terminal au Stand ya mabasi???? Tena kama ya NyankumbuMikdde Kitombile Kwamba Shabiby na Mohsol wanaanza safari za Mwanza π€£π€£π€£π€£
Mbeya ni nyeupeView attachment 2680123View attachment 2680124View attachment 2680125View attachment 2680126
Hizo Sauli unaona zimepaki uani kwako? ππHivi Mbeya kuna Bus terminal au Stand ya mabasi???? Tena kama ya Nyankumbu
Makopo yanayokata roho ,,,,ndo unatuletea humuMikdde Kitombile Kwamba Shabiby na Mohsol wanaanza safari za Mwanza
Mbeya ni nyeupeView attachment 2680123View attachment 2680124View attachment 2680125View attachment 2680126
Vibasi vya kimaskini hivi ndio ulinganishe na Benz au Marcopolo za Sauli? Kuwa serious kidogo..
Hilo kopo huwezi fananisha na hiki kinanda EBR bima milioni 70 ..HyVibasi vya kimaskini hivi ndio ulinganishe na Benz au Marcopolo za Sauli? Kuwa serious kidogo..
Sauli hajawahi pata ajali ya kuia Toka aanze biashara
Hilo kopo huwezi fananisha na hiki kinanda EBR bima milioni 70 ..Hyndo bei ya kununua Hilo kopoView attachment 2680216View attachment 2680217
Watasema wanaongoza Kwa uchumi
Western Zone Iko wapi naona mumusaidiwa na Kigoma hapoWatasema wanaongoza Kwa uchumi
Lake trilion 41 GDP
southern highland trillion 25View attachment 2681286
Thamani ya madini yaliyouzwa Kanda ya ziwa Hadi marchi 2023 ni bilion 444 saw na asilimia 51 ya madini yote tanzania...
Kwani katavi Iko wapi naona mmesaidiwa na kataviWestern Zone Iko wapi naona mumusaidiwa na Kigoma hapo
Chunya peke yake imezidi hiyo thamani ya Madini ya Lake Zone nzima ππThamani ya madini yaliyouzwa Kanda ya ziwa Hadi marchi 2023 ni bilion 444 saw na asilimia 51 ya madini yote tanzania...
Note hizo bilion 444 ziliingizwa kwenye mzunguko wa wananchi na serikali....... center ya uchumi wa nchi Ni Kanda ya ziwa
View attachment 2681292
Upande Wetu umetolewa Ruvuma wanaleta wenye njaa hao wa Katavi ,hao ni Western zoneWatasema wanaongoza Kwa uchumi
Lake trilion 41 GDP
southern highland trillion 25View attachment 2681286
Leta takwimu..hyo chunya sii ipo southern highlandChunya peke yake imezidi hiyo thamani ya Madini ya Lake Zone nzima