ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,246
- Thread starter
-
- #16,781
Mbeya DodomaList inaendelea
mwanza to kigoma
Aifola
Takbir .
Adventure.
Mwanza to Kanda ya ziwa (bukoba /geita/kahama)
sabuni
Tungis
Frester road way
Zuberi
Alys .
Kisire
King msukuma
Nyehunge
Mwanza to Kanda ya ziwa (bariadi/musoma/tarime /sirari)
Champion
Kisire
Batco
Zakaria
Nyamse
Isagilo
Africa Raha
To be continued
Njombe to Majiji and MikoaniHamna hata hiace .... sembuse... Kahama Ina ruti za majiji haya
Tanga .
Mwanza.
Dar es salaam
Arusha.
Dodoma..
Mwanza ni G7 tu..makopo yanapelekwa mbeyaMbeya Dodoma
Shabiby
Kimbinyiko
Magaula
Machame
Swahili
Ngasere
Mk Classic
Kuna mghamba ya Tanga ..Njombe to Majiji and Mikoani
Dar
Arusha
Mwanza
Mbeya
Dodoma
Wapi Kahama-Tanga? Weka hapa Busi tuone
Ungekuwa unajua umbali kutoka kahama hadi Bukoba au Kigoma usingeandika huu utumboHapo ni kutumia vizuri geographical position ya mji ulipo ko bado nyanda za juu kusin Ina mji wa aina HiYo ukiangalia kahama inategemewa ku supply mizigo kwenye wilaya za almost mikoa mitano Yan shinyanga yenyewe, Kagera,geita,tabora na kigoma kitu ambacho ni sawa na mji wa makambako una supply mzigo njombe yenyewe ,iringa ,ruvuma ,morogoro hususa zone ya ifakara,na mbeya especially mbarali ko kuimarika kwa bandar hii miji inakwenda kukua zaidi ikiwa na kuanzishwa kwa bandari kavu pia na miji ya border inaenda kukua zaidi kama tunduma na hii imepelekea kampuni nyingi za kibiashara kufungu branch za ofisi zao kwenye hii miji mfano azania ,dangote cement ,Simba cement, mo product nk hii nikutokana urahisi wa soko Cha msingi ni kuimarisha miundombinu mfano Barabara za katikati ya mji ili kuvutia zaidi wawekezaji na maeneo ya uzalishaji View attachment 2666966View attachment 2667084
Porojo hizo ni Toka mwaka Jana , endelea kujifariji 😂😂Mwanza ni G7 tu..makopo yanapelekwa mbeyaView attachment 2667118
Kamanda route ya Mwanza Tanga kwa sasa ipo, wakati naenda Iringa nilikutana na jamaa mjaluo ambaye ni Ticha kama mpwayungu, alikuwa anaenda Tanga kureport akitokea Nyegezi, Mwanza nikataka kujua anapanda gari gani lakini nikajikuta nasahau, me nikapanda Isamilo.Hamna hata hiace .... sembuse... Kahama Ina ruti za majiji haya
Tanga .
Mwanza.
Dar es salaam
Arusha.
Dodoma..
Tumekwambia baadhi ya wilaya za Kagera Na bado kigoma hivohivo acha kupinga ukweli tunafanya biashara haya mambo yanafahamikaUngekuwa unajua umbali kutoka kahama hadi Bukoba au Kigoma usingeandika huu utumbo...
Kwa bukoba mizigo yake mingi inatoka Mwamza kwa meli...na hio ndo nia ya serikali...mizigo inakuja hadi mwanza then meli hadi bukoba ndo maana unaona meli ya MV Victoria, nyakibolwa, etc zipo zinatoa huduma...na kuna meli kubwa ya MV Mwanza inaanza soon...
Hamna usiongee usichokijua kahama inasupply wilaya gan ya kagera? Bora ungesema KATORO Ndo inasupply mizigo Kwa wilaya ya BIHARAMULO na sio kahamaTumekwambia baadhi ya wilaya za Kagera Na bado kigoma hivohivo acha kupinga ukweli tunafanya biashara haya mambo yanafahamika
List inaendelea
mwanza to kigoma
Aifola
Takbir .
Adventure.
Mwanza to Kanda ya ziwa (bukoba /geita/kahama)
sabuni
Tungis
Frester road way
Zuberi
Alys .
Kisire
King msukuma
Nyehunge
Mwanza to Kanda ya ziwa (bariadi/musoma/tarime /sirari)
Champion
Kisire
Batco
Zakaria
Nyamse
Isagilo
Africa Raha
To be continued
Ndani ya Njombe