Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwamba mtakuwa mnajenga Mwanza si ndio 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi hiyo barabara haijaanza kujengwa tu🙄🙄
 
Hamna kitu kama hicho ....mimi nipo kahama... matajiri wa kahama hawana muda na mavumbi ya mbeya
Kwani wewe ni wakala wa Mabasi? Hata Mpanda Kahama Kuna vibasi vi Tata sio gari kubwa inawezekana zikawa gari hizo aina ya tata.
 
Kwani wewe ni wakala wa Mabasi? Hata Mpanda Kahama Kuna vibasi vi Tata sio gari kubwa inawezekana zikawa gari hizo aina ya tata.
Hamna hata hiace .... sembuse... Kahama Ina ruti za majiji haya

Tanga .
Mwanza.
Dar es salaam
Arusha.
Dodoma..
 
Mwanza Mtwara na Mwanza Songea ni tofauti

Mwanza Songea una advantage ya kupita Dom then Iringa to Mk kisha Songea

Sasa Mtwara ukifika tu Songea incase umepitia iringa unaanza safari upya

Ni safari ya zaidi ya masaa 24.. who risks his vehicle on that safari
 
Leta hapa Kahama Tanga tuone
List inaendelea
mwanza to kigoma
Aifola
Takbir .
Adventure.
Mwanza to Kanda ya ziwa (bukoba /geita/kahama)
sabuni
Tungis
Frester road way
Zuberi
Alys .
Kisire
King msukuma
Nyehunge
Mwanza to Kanda ya ziwa (bariadi/musoma/tarime /sirari)
Champion
Kisire
Batco
Zakaria
Nyamse
Isagilo
Africa Raha

To be continued
 
Hapo ni kutumia vizuri geographical position ya mji ulipo ko bado nyanda za juu kusin Ina mji wa aina HiYo ukiangalia kahama inategemewa ku supply mizigo kwenye wilaya za almost mikoa mitano Yan shinyanga yenyewe, Kagera,geita,tabora na kigoma kitu ambacho ni sawa na mji wa makambako una supply mzigo njombe yenyewe ,iringa ,ruvuma ,morogoro hususa zone ya ifakara,na mbeya especially mbarali ko kuimarika kwa bandar hii miji inakwenda kukua zaidi ikiwa na kuanzishwa kwa bandari kavu pia na miji ya border inaenda kukua zaidi kama tunduma na hii imepelekea kampuni nyingi za kibiashara kufungu branch za ofisi zao kwenye hii miji mfano azania ,dangote cement ,Simba cement, mo product nk hii nikutokana urahisi wa soko Cha msingi ni kuimarisha miundombinu mfano Barabara za katikati ya mji ili kuvutia zaidi wawekezaji na maeneo ya uzalishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…