Kahama VS Njombe/Mafinga

Fikeni hapa kwanza 👇
 
Kwenye takwimu za mapato ya halmashauri ambako ndo uchumi wa wananchi wa chini Kagera bado inafanya vizuri
 
Jamaa mpuuzi hata kwenye shule Kagera inazo nyingi mno na bado ufaulu uko juu. Zitto ni bwege aliyeishiwa hoja za kisiasa akienda Kagera na mentality hiyo watamfukuza atafute kiki nyingine sio hizo
 
Jamaa mpuuzi hata kwenye shule Kagera inazo nyingi mno na bado ufaulu uko juu. Zitto ni bwege aliyeishiwa hoja za kisiasa akienda Kagera na mentality hiyo watamfukuza atafute kiki nyingine sio hizo
Ana wivu na watu wa mkoa wa Kagera.

Tangu lini amewahi kumuona mtu wa Bukoba ameenda Kigoma kutafuta kibarua cha kulima au kuchunga ng'ombe kama ndg zake waliojazana huku mashambani?
 
Na ndipo jina la Washuti lilipotokea, watu wasiojielewa na wanaoishi pembezoni mwa shamba huwa hawachangamani na Wahaya.

Aongee kidogo asili yake tunaijua vizuri
Something fish is going on kwenye kuuita mkoa wa kagera una GDP ndogo...na hatimaye kuuita Maskini....

Hii kahawa yote zaidi nusu inatoka Kagera na bado haya mapato hayahesabiki kagera

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…