ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,353
- 88,438
- Thread starter
-
- #16,521
Hana ubavu huyo Mjasiliamali wa kushindana na Mwekezaji huyoKatarux alianzia kwenu eti .[emoji116]View attachment 2641752
Mambo ni moto HiYo ni itulahumba to igwachanya saiz mtu wa igwachanya kuingia makambako itakuwa ni dakika mambo ya Agri connect ya kuunganisha maeneo ya uzalishaji na soko kazi inaendelea
Sasa hao walugulu na ushamba wao watajua nini? Acha waendee kusugua kwenye umaskini na kufanya umalayaHuku morogoro watu wanajuaga kahama na njombe ni vijiji ha ha ha ha ha
Isamilo ni Musoma Dodoma via MwanzaRuti ya dodoma mwanza Hadi sasa
Alys
Nyehunge
Sabco
Satco
Bright line
Fikoshi
Isamilo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Unaonyesha vitu vya ajabu ajabu badala uoneshe miradi inayoongoza pesa
Isamilo ni ya Dom-Musoma usitupange..Ruti ya dodoma mwanza Hadi sasa
Alys
Nyehunge
Sabco
Satco
Bright line
Fikoshi
Isamilo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]