Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwanza endeleeni kuteseka 😃😃

Iringa na Ruvuma
 
Hiyo ni pesa ya mgodi, hii serikali inachuma dhahabu za geita inaenda kujenga dual carriage za 320km huko dodoma.
 
Geita hiyo hapo inayoingiza bilion 700 kwa mwaka lakini hata barabara moja tu ya maana hakuna hili linchi la ovyo natamani kutukana lakin basi tu, kama hatutakiw basi waache kuchuma utajiri wetu na kujinufaishe wao na miji yao.
 
Hizo pesa za tactic za world bank zimepigwa na sasa wanahaha kutafuta pesa za kuanza ujenzi nazan mwezi wa nane mpka wa tisa, hii nchi ngumu sana hii kaka.
 
Japo pesa kiduchu zimetengwa ila walau wameanza

Mbeya & Njombe
 
Hizo pesa za tactic za world bank zimepigwa na sasa wanahaha kutafuta pesa za kuanza ujenzi nazan mwezi wa nane mpka wa tisa, hii nchi ngumu sana hii kaka.
Labda kama wamebadilisha matumizi au kupunguza kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…