Kahama VS Njombe/Mafinga

Ila mbeya Kuna nini Cha kutalii...acha ushamba train zinaenda dar huko unamzungumzia mbeya ..
Mtalii Gani aje aone nzi hizi
View attachment 2621706

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna viingi vya kuona kama hivi 👇

On top of that Safari tuu ya kutoka South Africa Hadi Dar ni Utalii wa kutosha inapitia Miji na hifadhi nyingi..

Sasa huko uswazi train zije kuona nini hasa?
 
Barabara pekee Kuu iliyoba kuifungua Mkoa wa Mbeya ni hii hapa..

Ikikamilika basi Uchumi wa Mkoa hautakamatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…