Unaponda huku moyoni unausifia mji ulio na standard nzuri.Labda ni kwambie hapo Mjini kati ni sehemu ndogo ya Njombe nenda kwenye government centres like Lunyanywi A,B,C utakutana na coloured roof za kutosha.Pakeni kwanza hizo nyumba rangi ndo tuongee vzr....mji hauna miti...nyumba zimechoka...yaan mnajisifia soko zuri na stendi nzr lakin mnalala kwenye nyumba zenye kutu!!...
Bora Bukoba watu wanakaa kwenye makazi bora...hizo stendi sijui soko wakiamua watajenga
Baadae tazama takwimu hapo chiniView attachment 2621487View attachment 2621496
Leta picha...hakuna mji hapo sio tofauti ya mji huo na muleba au karagwe.bado narudi na hoja ileile mji sio kuwa na fremu, stendi na soko basi...mji lazima uwe na muonekano wa kimji....unajua mtu ukiwa na pesa hata makazi yatakuwa mazuri...yaan mtu uwe na hela halafu unalala nyumba yenye kutu?Unaponda huku moyoni unausifia mji ulio na standard nzuri.Labda ni kwambie hapo Mjini kati ni sehemu ndogo ya Njombe nenda kwenye government centres like Lunyanywi A,B,C utakutana na coloured roof za kutosha.
Nafahamu kuwa Njombe ya Leo Bado Iko nyuma ya Bukoba interms of Majengo kwa Njombe ni ya juzi tu lakini kwenye standard hamtushindiLeta picha....unajua mtu ukiwa na pesa hata makazi yatakuwa mazuri...yaan mtu uwe na hela halafu unalala nyumba yenye kutu?
Ni juzi tu hapa Chalamila kwa mara ya kwanza ameanza kuwapongeza wahaya kwa kujenga makazi bora akiwashauri waongeze nguvu kwenye vitega uchumi...kila mkuu wa mkoa anakuwaga surprised na makazi ya mkoa huu wa kagera hasa uhayani ingawa takwimu za Per capita zinapafanya paonekane maskini...alisemaga Gaguti, massawe nk...
Hebu Tazama mitaa ya Bukoba...nyumba standard kabisa na hapo sio mjini kati ni kata ya miembeni na kaitaba
Mtaa huu haupo hata top five ya mitaa ya kishua Bukoba...maana bukoba ni mji wa vilima na huko ndo kumejaa nyumba nzr sana kama mlima wa Kashura, nshambya...na the richest ambayo ni nyamkazi...
View attachment 2621536View attachment 2621537View attachment 2621538View attachment 2621540View attachment 2621541
Standard zipi? Hebu zitaje...Nafahamu kuwa Njombe ya Leo Bado Iko nyuma ya Bukoba interms of Majengo kwa Njombe ni ya juzi tu lakini kwenye standard hamtushindi
Njombe CBDaslimia 70 ni planned,Clean,abandunt.Standard zipi? Hebu zitaje...
Kwan Bukoba CBD sio planned?...what I know Downtown Bukoba iko well planned sehemu ambazo hazijawa planned ni maeneo ya huko vilimani...Njombe CBDaslimia 70 ni planned,Clean,abandunt.
Kashura Bukoba...Nafahamu kuwa Njombe ya Leo Bado Iko nyuma ya Bukoba interms of Majengo kwa Njombe ni ya juzi tu lakini kwenye standard hamtushindi
Billion sita? Nyie mna masihara sana...
Masihara gani Sasa hapo ujenzi ni km 6 ,wewe ulitaka iwe bei gani Kwa hizo km?Billion sita? Nyie mna masihara sana...
Hyo bajeti ya kujengea barabara za mawe wilaya ya nyamagana....Masihara gani Sasa hapo ujenzi ni km 6 ,wewe ulitaka iwe bei gani Kwa hizo km?
Hivyo sio vitu vya kutangaza...mambo madogo sana hayo....Masihara gani Sasa hapo ujenzi ni km 6 ,wewe ulitaka iwe bei gani Kwa hizo km?
Iko wapi? Unajua hiyo Barabara inaenda wapi? Unaujua mradi wa visima wa gas asilia ya Nkejo wewe?Hivyo sio vitu vya kutangaza...mambo madogo sana hayo....
Hebu google mujungi Road...inayounganisha vijiji vya kamachumu, nshamba, kishanda na muleba huko ni zaidi ya km 52 za lami...na ilikamilika 2020 huko.....
Sitokusomea,soma mwenyewe,happening nowHyo bajeti ya kujengea barabara za mawe wilaya ya nyamagana....View attachment 2621618View attachment 2621620
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye wivu endeleeni kujinyonga ...2027 ....tutawachia katarama
Huko tulishapita kitambo acheni ushambaWenye wivu endeleeni kujinyonga ...2027 ....tutawachia katarama..iwafiriji watu wa mbeya.. wakati sisi tukiwa kwenye high standard train View attachment 2621686
Sent using Jamii Forums mobile app