Kahama VS Njombe/Mafinga

Vyuma hata stendi haina dalili ya kujengwa
View attachment 2620756

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una shida mahala,Sasa Kasekenya na Stand wapi na wapi? Mbona kajibu vizuri kabisa?

Mwisho ni kwamba mbunge aliyeuliza swali na mtoa majibu wote hawako aware Kwa sababu stand itajengwa via mradi wa Tactic tena na kwenye Bajeti miradi imetajwa..

Hiyo ndio shida ya kuwa na wabunge vilaza
 
Acha porojo zako ...usimfanye huyo naibu waziri ni kichaa na hajui miradi ya serikali inayopitishwa na baraza la mawaziri....
Mwisho.. mbunge ni mjumbe kwenye mabaraza ya madiwani yaliyo chini ya TAMISEMI anajua Kila kitu ..
Wakati wabunge wenu vilaza wakiendelea kuulizana stendi uchwara .
Wenzenu tunateleza


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa ujinga wako hapa,aliyekwambia kwamba Baraza la Mawaziri wanajadili specific projects za Halmashauri nani?

Kwa hiyo kati ya Kasekenya na Waziri wa Tamisemi na wewe tumuamini nani labda?

Narudia kukuambia hana majibu,Hilo.lingekuwa ni swali la msingi angeletewa majibu ila swali la Nyongeza linategemea uelewa wake..

Umewahi msikiliza Kasekenya akijibu maswali ya Wizara ya Ujenzi? Iwe la Msingi au la Nyongeza yote anajua Kwa sababu amekaa kabla ya kuwa mbunge alikuwa TanRoads Kila sehemu na Barabara anazifahamu,Sasa mambo ya Tamisemi atayajulia wapi?
 
We ndio dumb to the highest... Miradi yote ya world bank ,,lazima baraza la mawaziri Liwe informed...
Inshort .. TACTICS imeshaanza nitumie procurement notice ya mradi wa stendi mbeya.ili nikasme kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…