Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwanza mtazidi kupigwa bao na Mbeya..

Maonesho ya 8/8 kuwa ya Kimataifa na Viwanja vya J.Mwakangale-Mbeya na Nzuguni-Dodoma ndio vimechaguliwa na Serikali
 
Wanaotaja Mwanza ni vile hawajitambui na Wala hawajawahi fika wakaona balaa lake
Hilo balaa lake unalijua mwenyew [emoji116]
Haters wanasema hamna barabara za mitaani.....
[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mwanza mtazidi kupigwa bao na Mbeya..

Maonesho ya 8/8 kuwa ya Kimataifa na Viwanja vya J.Mwakangale-Mbeya na Nzuguni-Dodoma ndio vimechaguliwa na Serikali View attachment 2615920
Mipango ya serikali ni mingi ..lakin mabao ya mikono kama hayo hatuna shida nayo ...hili ni jiji la biashara sio la wakulima kama nyie so mnadeserve [emoji116]
Asilimia 75 [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…