Sio mbali wewe, nimeishi Mwanza 3 yrs ni only 160 km to Shinyanga. Miji hiyo kupitwa au hapana ni factor ya growth rate ambapo kwa sasa iko favourable kwa Njombe kuliko Songea na Iringa so tofautisha kukimbia na kutembea.
Imagine barabara ya Njombe Ifakara na Njombe kudewa, Mbamba bay na Njombe, Makete Mbeya zikikamilika hiyo speed ya ukuaji itakuwa mara mbili ya sasa wakati Iringa na Songea hakuna jipya barabara zake kuu ziko operational tayari.