wilsonwizzy
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 627
- 2,731
ukiwa usagara kwenda kisesa kupitia bypass hakuna daladala ila kuna bajaji, na ukiwa kisesa mpaka kufika airport road bila kupita city center panda hiace zimendikwa kisesa to airport via nyasaka na ukiwa usagara kwenda JPM bridge usafiri upo wa kumwaga tuUkiwa hapo usagara Kuna Ile Barabara ya usagara-Kisesa bypass hivi inatumika na daladala zipo? Kwamba naweza kutoka usagara nikaenda Kisesa then nirudi mjini bila usumbufu?
Pili hiyo Barabara kubwa kutoka hapo usagara kwenda Kigongo -Busisi Kuna daladala au? Maana those days ilikuwa Bado maporini makazi yalikuwa ya kutafutiza..
Harafu Ukiwa Nanenene kule maana Kwa kipindi hicho ndio makazi Mapya yalikuwa yanaanza,naweza kupanda daladala Hadi njia ya Airport bila Kupitia city centre?
Hivi hizo stand zenu ukiacha nyegezi Kwa nyuma hapa daladala zilikuwa zinaishia na kulikuwa na Soko ambalo sio rasmi panaitwaje nimepasahau na Kwa Sasa ndio Kuna stand Mpya nyingine?
Mwisho Ndugu yangu anaishi Usagra na mwingine kule SAUT iliko nimeshau jina something like Malimbe..
🙏🙏ukiwa usagara kwenda kisesa tupitia bypass hakuna daladala ila kuna bajaji, na ukiwa kisesa mpaka kufika airport road bila kupita city center panda hiace zimendikwa kisesa to airport via nyasaka na ukiwa usagara kwenda JPM bridge usafiri upo wa kumwaga tu
na kuhusu hapo kwenye soko ambalo sio rasmi ambapo hiace zilikuwa zinaishia hope itakuwa igoma/kishiri au machinjioni/kakebe maana sijakupata vizuri unazungumzia ni maeneo yapi ila kwa kua una miaka nane haupo mjini nahisi unazungumzia hayo maeneo maana kwa kipindi hicho ndio hiace nyingi zilikuwa zinaishia na kuhusu stand haikujengwa palepale maeneo ya buzuruga bali ilihamia ahead almost 8km from buzuruga karibu kidogo na hapo unapopasema palikuwa porini (nane nane) ila kwa sahivi ni pa moto sana watu wanashusha kila siku maproject ya maana
na kuhusu pa kufikia nimeona unajiongelesha kuhusu malaika,malaika kulala kwa bei ya kuanzia ni 220 dollars so kwa ungaunga kama wewe hizo sehemu hazikuhusu labda tu uende kwa nia ya kunywa na kula ila sio kulala pengine hata kula unaweza usitoboe maana viepe lundo ulovyokuwa umezoea kuwekewa kwa 2k kwenye sinia zima kwenu uyole pale utanunua kwa 15k maji ya buku kwa 3k nakushauri tafuta maeneo ambayo utajihisi upo nyumbani kama vile igoma/nyakato-national au nyegezi ambapo utapata kabisa vitu unavyohitaji lodge za 15-25k pamoja na bar zile classic but affordable zina malaya wakali but affodable chukua malaya zako wa 25-50k ukainjoy utamu maana inaonekena unapenda uzinzi
na kuhusu hao ndugu zako hatujui unania gani nao ila kama unafikia kwa ndugu zako bora ufikie kwa huyo ndugu yako wa malimbe ila huko usagara ni mbali sana
na kama ukikwama zaidi usisite kututafuta masinior wa mji
karibu mwanza
Hichi si ndio walichokuwa wanalima maharage???
Ndio hicho hichoHichi si ndio walichokuwa wanalima maharage???
Wasemavyo wadauMandhari kama haya unayakuta Mbeya na Ulaya tuu View attachment 2602105View attachment 2602106View attachment 2602107View attachment 2602137
Kama hakuna Barabara Wala hainashida nadhani baada ya Barabara za njia 4,na Tactic Kam 25 plus TanRoads km 5 Kukamilika waambie waje tena kusema..
Hizo ni porojo hata bariadi zipo[emoji116]Kama hakuna Barabara Wala hainashida nadhani baada ya Barabara za njia 4,na Tactic Kam 25 plus TanRoads km 5 Kukamilika waambie waje tena kusema..
Kwa hiyo Kwa Sasa wako sahihi,Jiji ni kubwa Barabara hakuna
Hayo Sasa ni matatizo Yako binafsi siwezi kukusaidia,porojo na mkandarasi Yuko site? Kuwa serious Mzee.Hizo ni porojo hata bariadi zipo[emoji116]
Tanga kunofuView attachment 2602554
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ziko wapi .....kama hapa[emoji116]Hayo Sasa ni matatizo Yako binafsi siwezi kukusaidia,porojo na mkandarasi Yuko site? Kuwa serious Mzee.
Asphalt ni grade ya chini ,sie tunajenga Super Paved Standard ..Picha ziko wapi .....kama hapa[emoji116]
Upgrading.buswelu to ilalila to asphalt bitumen.. ilemela municipality.
Mwisho:hamna mkandarasi wa tactics aliyepo siteView attachment 2602562View attachment 2602564
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Asphalt ni grade ya chini ,sie tunajenga Super Paved Standard ..
Soma hapa [emoji116]
Hatuhitaji TACTIC kuvimbaPicha ziko wapi .....kama hapa[emoji116]
Upgrading.buswelu to ilalila to asphalt bitumen.. ilemela municipality.
Mwisho:hamna mkandarasi wa tactics aliyepo siteView attachment 2602562View attachment 2602564
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Mbeya maji mtaita mmaa.Hatuhitaji TACTIC kuvimba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] endeleeni kubishana msije laumu mtu
Hako Kamji ka hovyo ,Mji wa gorofa 5 labda unalingishia Katoro ila Geita haiwezi lingana na Mji wowote wa Nyanda za Juu
Sent using Jamii Forums mobile app