KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Bei ya malaika bro ni mill 1 Kwa siku,,,labda uende JEMBE BEACHBroo mitaa ya vichochoroni siifahamu wewe niulize Ghana na Ilemela Beach ipo njia ya Airport,Capri point ni huko BoT iliko,Huko kwingine ni njia ya Igoma/Musoma Road.
Kwanza hapo Malaika Beach kama bei ya chumba inazidi 50,000 Sina Mpango hata wa kwenda ,wewe nitajie Malaya wa bei ya kati wanapopatikana basi 😆😆😆😆
Inategemea bia ganBia elfu ngapi hapo?
Ifike sehemu mamlaka za mipango miji ziweke sheria ujenzi unaezeka na bati za rangi na sio hzo kutu
Capripoint sio knako BOT. BOT. Haiko hukoBroo mitaa ya vichochoroni siifahamu wewe niulize Ghana na Ilemela Beach ipo njia ya Airport,Capri point ni huko BoT iliko,Huko kwingine ni njia ya Igoma/Musoma Road.
Kwanza hapo Malaika Beach kama bei ya chumba inazidi 50,000 Sina Mpango hata wa kwenda ,wewe nitajie Malaya wa bei ya kati wanapopatikana basi 😆😆😆😆
Wacha uongo wako ..BOT na capripoint wapi na wapi .....hii mwanza unaijulia kwenye Google maps ..au ulipita siku moja tu ......Broo mitaa ya vichochoroni siifahamu wewe niulize Ghana na Ilemela Beach ipo njia ya Airport,Capri point ni huko BoT iliko,Huko kwingine ni njia ya Igoma/Musoma Road.
Kwanza hapo Malaika Beach kama bei ya chumba inazidi 50,000 Sina Mpango hata wa kwenda ,wewe nitajie Malaya wa bei ya kati wanapopatikana basi
Jikite kwenye hoja,Malaya grade 2 wanapatikana mitaa gani 😁😁Wacha uongo wako ..BOT na capripoint wapi na wapi .....hii mwanza unaijulia kwenye Google maps ..au ulipita siku moja tu ......
By the way kama huna pesa ...nenda buswelu huko city link ..ndo Kuna bat za level ya chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishuka usiku na ally's ya mpanda ...kama watakuwa wamehamia kwenye stendi Mpya ,,,zunguka nyuma ya stendi utapata wa size yakoJikite kwenye hoja,Malaya grade 2 wanapatikana mitaa gani
Hayo maeneo nayafahamu physical kabisa probably nimechanganya mitaa ila nitaangalia vizuri Google map how are they separated from each other
Labda kama unaamaanisha chuo Cha benki kuu ..ndio kipo capripointJikite kwenye hoja,Malaya grade 2 wanapatikana mitaa gani
Hayo maeneo nayafahamu physical kabisa probably nimechanganya mitaa ila nitaangalia vizuri Google map how are they separated from each other
Malaya nakushauri uingie villa park and resort utainjoy sana hii Iko located kirumba near kirumba stadium au jiran na rock city mall,Jikite kwenye hoja,Malaya grade 2 wanapatikana mitaa gani 😁😁
Hayo maeneo nayafahamu physical kabisa probably nimechanganya mitaa ila nitaangalia vizuri Google map how are they separated from each other
Moshi ndio mkoa Gani huko?
Rukwa nakubali bila kupinga duuh Kila muda unapigiwa namba ngen unaambiwa mara sjui mganga,mara dawa kiufupi ni hovyo sana
BoT ipo wapi?Labda kama unaamaanisha chuo Cha benki kuu ..ndio kipo capripoint
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia ya airport karibu na Nyakahoja☻☻☻BoT ipo wapi?
BOT ilikuwa Nyerere road...imehamishiwa jengo jipya ,,,makongoro avenue junction ya kwenda isamiloBoT ipo wapi?
Hapana bwana Bora wale wanaokuwa maeneo yenye hoteli au Lodge au night club,Sasa hao wa barabarani kama Buguruni Kwa kweli hapana 🤪🤪,Kwa kuwa tutakuwa company tutawakuta night club huko huko.Ukishuka usiku na ally's ya mpanda ...kama watakuwa wamehamia kwenye stendi Mpya ,,,zunguka nyuma ya stendi utapata wa size yako.....kama watakuwa bado wapo huku stendi ya muda ..ulizia mitaa ya stendi Mpya inapojengwa...nyuma ya hyo stendi utapata vitu vyako
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka zamani au ni hii Mpya? Aisee huko sikufahamu nitazunguka uzuri Nina siku 4 hapo Mjini.
Nyerere road ipo city centre ,siku nyingi mumeanza kusahau ni miaka 8 imepita sijakanyaga MwanzaBOT ilikuwa Nyerere road...imehamishiwa jengo jipya ,,,makongoro avenue junction ya kwenda isamilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema hujawahi fika kabisaNyerere road ipo city centre ,siku nyingi mumeanza kusahau ni miaka 8 imepita sijakanyaga Mwanza