Kahama VS Njombe/Mafinga

Ila kusema ukweli mna Mabasi mabaya khaa,walau Mabasi ya Dar -Mwanza ni mazuri ila huko Vijijini kwenu hamna kitu
mna VIP ya kwenda mkoa mwingine tofauti na dar ?....kama ipo post hapa nileft Uzi
VIP kigoma , dodoma, Arusha na Moshi
only in mwanza

Raqeeb bussines class.. mwanza to Moshi
Loliondo coach bussines class.mwanza to Arusha
Aifola bussines class.mwanza to kigoma
Satco VIP class . mwanza to dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAha unaangali Igawa tu hiyo mzee nenda na Barabara ya rujewa ubaruku ndo utaelewa tunachoongea sio unalala tu igawa

bA
Mkuu Leo umenifungua macho ,sikuwahi Fika Mbarali ila Kwa ulivyosimulia hapa kwamba Miji imeungana basi mwaka huu lazima niende nikafanye adventure kidogo.
 
Wewe nilishawahi kukuambia na narudia tena kwamba Mabasi yote yanayotoka Mbeya kwenda Mkoani ni VIP Class kuanzia Tanga Hadi Mwanza..

Lake Zone VIP mumeanza kupata mwaka,huko kote Mbeya ilishapita zamani..

Dom-Mbeya sio VIP tena Bali ni VVIP ya Shabiby
 
KKu
Mkuu Leo umenifungua macho ,sikuwahi Fika Mbarali ila Kwa ulivyosimulia hapa kwamba Miji imeungana basi mwaka huu lazima niende nikafanye adventure kidogo.
Kule kupo poa we nenda katembelee utanipa mrejeaho na saiz wamepeleka kampuni tatu za mabus kwenda dar
 
Mkuu Leo umenifungua macho ,sikuwahi Fika Mbarali ila Kwa ulivyosimulia hapa kwamba Miji imeungana basi mwaka huu lazima niende nikafanye adventure kidogo.
Mwongo huyo .... hizo parking za malori zilizozungukwa na mabanda ya kutunzia mpunga na vichanja vya mapumba ndo anaita mji ...Hiv ukifika nzega , katoro utasemaje sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawadanganye shangazi zako ..........leta picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KKu

Kule kupo poa we nenda katembelee utanipa mrejeaho na saiz wamepeleka kampuni tatu za mabus kwenda dar
Ni kama vile ukitoka pale Mahenje Hadi Old Vwawa au ukitoka Makambako Hadi Njombe au Inyala Hadi Songwe Airport au Ihanda Hadi Tunduma mbele kabisa huku Sumbawanga Road ,hizo sections ni conglomerations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…