Kahama VS Njombe/Mafinga

Hakika, kwa sasa Mwanza hamna maeneo ukisikia mtu amenunua kiwanja ujue ni huko Magu au Misungwi, jiji la mwanza tuna uhaba wa maeneo.
Sasa hatuna maeneo na tulihaidiwa kupewa manispaa mpya ili kutanua maeneo lakini mpaka sasa naona kimya.
Jiji la mwanza linahitaji kutanuliwa maeneo maana linakua kwa kasi tofauti na huko kwingine

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ndio madhara ya kujenga mabanda mnayoita dream houses na kuzaa hovyo haya Sasa 😁😁
 
Nyumba za Tunduma ni nzuri ila zimejengwa kiholela humo.milimani,hakuna maskini wa Mwanza anaweza miliki nyumba kama hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…