Kahama VS Njombe/Mafinga

Barabara ya kishiri buhongwa ni km 14
barabara ya busenga -buswelu km 3.5
barabara ya nyamhongolo -buswelu km 9.5
barabara za kuzungukw soko la buswelu km 3 ...

Jumlisha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hauko Tarura ,taarifa rasmi ya Serikali ni hizo ilizotaja,Mbeya ni km 24.8 sio km 25,Mwanza jumla ni km 29.7 na sio vinginevyo.
 
Kama haupo kwenye hii list hapa tupishe.

Rukwa tuna km 179 ya kutoka Ntendo Hadi Kilyamatundu/ Songwe Border na pia tuna Matai-Kasesya Border/Zambia border km 50 zote zinatandikwa lami na kazi inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…