Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya is next good thing.

Kale kajaa kabishi kaje tena kusema hii nauli ni ya VVIP au ni ya VIP?

 
Yaani Hadi Leo hii hiyo Mikoa Haina warehouses za MSD? Huko kwenu ni zero kabisa.

Makambako Kuna viwanda vya msd,Mbeya Kuna zonal warehouse pale Iwambi.
Kwa hyo hata dar hamna ware house za msd [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…