Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwanza na Kansa hizo na umaskini na mabanda ya nguruwe unaishi huko?

Hapo sijataja njaa 😁😁
Kumbe bado haujabadilika una akili zilezile. Uzi uanzishe mwenyewe bado unajichagulia na side ya kutetea kwa miaka yote hii.

Pumbavu ndio maana nyinyi WEUSI na WAFUPI sana vipipa nyie na nyumba zenu za matofali ya kuchoma
 
Kumbe bado haujabadilika una akili zilezile. Uzi uanzishe mwenyewe bado unajichagulia na side ya kutetea kwa miaka yote hii.

Pumbavu ndio maana nyinyi WEUSI na WAFUPI sana vipipa nyie na nyumba zenu za matofali ya kuchoma
Mapovu ya nini bwashee,sio mimi nimekusababishia uwe na Kansa ya ubongo na mtindio wake 😁😁

Mwanza imejaa maskini,mabanda ya nguruwe,njaa na horrible life usije kuthubutu kujilinganisha na Mbeya.
 
Hiyo ni Kiboko ya Bukoba,gulio la Kahama likashindane na Tabora hakuna Mji wa kulinganisha huku kwetu.
Mpumbavu kweli wewe, hiyo Tabora tu hakuna mji wa kusini unayoizidi kiuchumi, kiuzuri, na hata kwa mambo ya kiswahili.

Kuna wilaya ya Tabora inaitwa Nzega hii kwa maendeleo yake huwezi kuilinganisha hata na mkoa wa Songwe.

Kuna Igunga hii hata sitii neno wewe kipipa
 
🤣🤣🤣🤣 Hii takataka hapa unaweza linganisha na wapi huku kwetu? Walau Bukoba ndio inajitahidi kidogo
 
Acha wivu Bwashee ,Mwanza mshapigwa kamba
.

Nani apeleke gari yake ya maana ikachakae huko Kwa washamba Mwanza?
Kuna gari kali kama EBF VVIP za allys star au EBR za Katarama Huko Mbeya
au VIP za Happy Nation zinazokuja Mwanza maana huko Mbeya Happy nation bado anawaletea DKY imagine

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
Huna picha nyingine tuone mbona unahangaika na hizi tu?

Kwa uzuri Mwanza is far.
Kiuchumi Mwanza is far.

Kitu pekee Mwanza inazidiwa na Mbeya napo ni kwa tabu sana ni Mvua za hovyo hovyo.

Embu tujikite kwenye mada yako hiyo Mbeya linganisha na Dodoma ambako kote kuna maghorofa ya kuhesabika.

Kuna group flani la wahehe wanajinasibu kuwa Iringa ni pazuri kuliko Mbeya japo ni padogo na wanatumia sana picha za mshindo na wilolesi na wala vifutu wa mbeya weusiii hawafurukuti
 
Acha porojo wewe kama huna bando usifungue video..

Sweet Mbeya City
 
Tabora unapajua?
Yani wewe huko kusini kwenu hakuna mahali sijapita sio tu nayajua maisha ya watu wa kusini na jinsi walivyo ila nayaelewa hadi mazingira yao.
Kanda ya Ziwa sijafika Bukoba na Musoma tuu na Kwa picha mnazoleta humu siwezi potezea nauli kwenda Vijijini kwenu huko hata mapato hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…