Kahama VS Njombe/Mafinga

Jiwe kuu hili hat huku mashoga hawana nafasi kwetu komaa kwenu
Uzuri ukiishiwa hoja Huwa akili yako.inakosa ushirikiano unakuwa kama mlenda na kutukana hovyo 😁😁😁😁
Njombe
 
Hilo bomba halina CSR πŸ˜†πŸ˜†

Huko tulishavuka kitambo Kuna Bomba la mafuta kutoka Dar Hadi Zambia TAZAMA.

Kuna Bomba la gas kutoka Mtwara kwenda Dar .

Sie ni wakubwa zenu kitambo wewe mburula.
Kitambo gan ukweli unao sema mavi kichwani yamekujaa badala ya akili Sasa Leo Ndo mnaunganisha Mikoa yenu Kwa Barabara kitu hicho tunajua kilifanyika miaka 20 nyuma kumbe kna watu wanashangilia Leo hii na kuona wako vzr 🀣🀣
 
Kahama Kuna uwanja wa ndege ad bombardier znashuka Sasa useme kiwanja Cha njombe
 
Kwani
Kahama Kuna uwanja wa ndege ad bombardier znashuka Sasa useme kiwanja Cha njombe
Kwani Njombe hakuna uwanja wa ndege? Hizo Charters planes zinatua wapi? Kwenye ua wako au?

Tuko kwenye design kujenga mkubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…