Kahama VS Njombe/Mafinga

Eti gorofa mbili πŸ˜ƒπŸ˜ƒsijasema Njombe mjini Iko sawa au kuizidi bukoba Kwa sababu ya factor mbalimbali ikiwemo kuwa mji wa kisiasa just from 2012 wakati Bukoba Iko Toka 1964 lakini Kasi ya ukuaji Njombe inatishaπŸ˜€ mkuu ndio maana nilikwambia Bukoba inafukuzwa na Njombe.Tazama business circulation ya Njombe na Bukoba utakuta difference ni ndogo pamoja na kuwa Bukoba inaadvantage zaidi ya Njombe Kwa kuwa Njombe logistically inaathariwa kuwa karibu na Mbeya,Iringa,Dodoma,Songea kiasi cha kumezwa mezwa.Ila huwezi fananisha Iringa na Bukoba bhana Iringa Iko mbali sana.Kumbuka Iringa inahost vyuo vikuu vitatu,inaviwanda,na ndio baba wa Mafinga wilaya yenye pato kubwa la serikali kutokana na Saohill,mufindi papers etc.Iringa pia Kwa sasa ni mikoa iliyo karibu na Ikulu.
 
Kuwa karibu na ikulu Wala sio kigezo bas morogoro ingekuwag at Jiji,,halafu ukweli sehemu wanakolima TU maendeleo ni hamna maana ukisema NJOMBE bila hayat ambaye Kila siku mnampondea but Ndo aliwajengea HOSPITALI ya Kanda,soko dogo hapo NJOMBE,stand na kuwaboreshea Barabara Sasa hicho Ndo unasema inakua au 🀣🀣
 
Kabla ya yote ushawahi kufika kahama?
 
Maparachichi 🀣🀣🀣 endelea kutuoneshe mashamba
Inaitwa green gold pesa uhakika ,ukilima pesa haitendi Kwa mzungu kama hiyo migodi yenu huko mlikoachiwa mashimo na umaskini
 
Hakuna kitu huko kwenye magofu ya Bukoba..

Kanda ya Ziwa ni Mwanza tuu kwingine kunanuka umaskini
 
Hakuna ki

Hakuna kitu umepost uduvi leta mandhar hayo halafu uwe na aibu unataja utalii unasema kusini wakat tz nzima ukitaja mbuga lazima
Serengeti
Rubondo
Saanane
Unaelewa maana ya Mandhari kwanza? Iliishia la ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…