Update daraja la kimataifa la busisi.asilimia 70Yote ina fursa inategemea unatk kuwekeza kwenye nini kama kilimo utaenda njombe na mafinga ila kama biashara utaenda kahama
Na kwenye top ranking za maeneo yanayoingiza mapato makubwa ya serikali mafinga ipo huwezi linganisha na kahamaYote ina fursa inategemea unatk kuwekeza kwenye nini kama kilimo utaenda njombe na mafinga ila kama biashara utaenda kahama
Vs BarabaraUpdate daraja la kimataifa la busisi.asilimia 70View attachment 2565646View attachment 2565647
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiji linaitwaje?
Huwezi Amini kwamba hapo ndio dhahabu Inatoka na pamechakaa hivyo..
Toa ujinga hicho ni kijiji Tena sio tarime mjini....Huwezi Amini kwamba hapo ndio dhahabu Inatoka na pamechakaa hivyo..
Pili kumbe Miji yenu Iko jirani na migodi ndio maana mnakufa hovyo na pia Kansa Kila sehemu..
Siwezi ishi Kanda ya Ziwa Kila siku nawaambia sio salama Kwa Afya ya binadamu..
Hiyo Tarime nayo bila csr ni Kijiji kingine,huko kwenu maisha ni hovyo sana.
Tarime mjini Iko wapi? Leta tuoneToa ujinga hicho ni kijiji Tena sio tarime mjini....
We na sayansi wapi wapi leta empirical facts za kuwa migodi ni chanzo kikubwa Cha Kansa..uje na scientific basis
Nani kakualika uje uishi huku ,,,na nani yupo tayari kuja kuishi kusini ambako watoto wanapata udumavu .
Sent using Jamii Forums mobile app
We chunya ipo wapi ... tuone wapi pamechakaaTarime mjini Iko wapi? Leta tuone
Ndio na ndo maana miji ya biashara Ina watu wengi kuliko mashambani tunaenda kulima TU mfano mm nalima mbeya nasafirisha tena angalau Ile Barabara wanapiga dual carriage nisafirishe vizrYote ina fursa inategemea unatk kuwekeza kwenye nini kama kilimo utaenda njombe na mafinga ila kama biashara utaenda kahama
NasemVs Barabara