Kahama VS Njombe/Mafinga

Bukoba inafnya vzr kielimu ila mkoa wa kagera haupo vzr kiel
Aibu kwako ukiongelea international school mwanza zipo tena hadhi ya juu pia Kahama ipo moja kitu ambacho mbeya ipo ila haifany Kaz imebak jina TU samaritan
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ilete hapa tuone kama inagharama za kuzishinda shule hizo hapo ila iringa tena top five
 
Bukoba inafnya vzr kielimu ila mkoa wa kagera haupo vzr kiel

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ilete hapa tuone kama inagharama za kuzishinda shule hizo hapo ila iringa tena top five
Hiyo list uliepost nusu ipost yote utaona shoga ewe
 

Attachments

  • inbound1379241915987322879.jpg
    239.4 KB · Views: 9
Mambo tunayoyahitaji kwenye miji mingi ya Tanzania...Ni plaza, shoping malls, supermarkets nk...

Sio miji mingi inakuwa kwa fremu na slums tu

Na Bukoba iko kwenye right track...

Kibira plaza
 
Kiubishani ni sawa ila kiuhalisia sio kwel kahama haiwez kuizid iringa hilo swala sahau
 
Bukoba downtown...
 
Nimekuletea hapo kitwiru unaposema kutoka city centre
Kwhy hapo ndo mjini,🤣🤣🤣🤣🤣
 
 

Attachments

  • inbound5015981857231678192.jpg
    153.6 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…