Kahama VS Njombe/Mafinga

Hmn kitu bukoba bhn stand tu shida ni manispaa ila bdo ina changamoto nyng
 
Wazungu wamefnya research wamepata majibu juu ya miji mikubwa ya Tanzania ila ngozi nyeusi mtabisha🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • inbound3914084726457224785.jpg
    123.1 KB · Views: 6
  • inbound1206244260212516426.jpg
    115.3 KB · Views: 8
Wazungu wamefnya research wamepata majibu juu ya miji mikubwa ya Tanzania ila ngozi nyeusi mtabisha
Wew jamaa...hata wew unaweza ukafungua channel yako ya YouTube ukapost content na zikaangaliwa....

But Iringa ni kamji kadogo sana...ingawa ni kasafi
 
Wew jamaa...hata wew unaweza ukafungua channel yako ya YouTube ukapost content na zikaangaliwa....

But Iringa ni kamji kadogo sana...ingawa ni kasafi
Iringa mi ndogo ila imezd miji mingi tu ikiwemo singida tabora musoma songea mtwara bukoba lindi kama unaringanisha na dar mwanza mbeya dodoma arusha kwel iringa ni ndogo
 
Iringa mi ndogo ila imezd miji mingi tu ikiwemo singida tabora musoma songea mtwara bukoba lindi kama unaringanisha na dar mwanza mbeya dodoma arusha kwel iringa ni ndogo
Hzo ni kauli za kushindwa kutoa hoja kwani hzo takwimu c znWekwa na watu tu mbona huwa huzipngi hao co kama wew huwa wanafnya research endelea kujifariji na kimji cha bukoka kilichokosa hata daladala
 
Hzo ni kauli za kushindwa kutoa hoja kwani hzo takwimu c znWekwa na watu tu mbona huwa huzipngi hao co kama wew huwa wanafnya research endelea kujifariji na kimji cha bukoka kilichokosa hata daladala
Yaan huo mji wa iringa ukitoa vyuo unabaki nini? Ni kamji kadogo nako kenye slums kibao, nyumba za wahindi na barabara moja ya dual...nothing special with Iringa...

So unatumia hoja ya daladala kulinganisha miji?...sasa daladala si zinawekwa kulingana na mahitaji? Ni kweli watu wa Bukoba wanaumia kukosa daladala? Kama mji unafikika na umefunguka na huduma je kuna ulazima wa daladala?
Kuna miji kama kisumu, Eldoret nchini kenya haina daladala ni bodaboda tu...je Iringa ni mji wa maana kuliko kisumu?



At least Bukoba kuna vitu inaizidi iringa ni vinaeleweka mfano Kuwa accessible na njia zote na usafiri...Bukoba kuna Airport na iko very busy, bukoba kuna bandari mbili na zote zinapokea meli, bukoba inaunganishwa kwa lami na mijj yote mikubwa...
Bukoba imejitosheleza kwa huduma za kijamii kama shule..kuna kata zina sekondari nne...Hospital na vituo vya afya kila mahali nk...
Bukoba ina a lot of hotels at least kuanzia nyota tatu na kuendelea
Bukoba una mtandao mkubwa wa barabara za lami..
Bukoba ni mji wenye kiwanja bora cha mpira hapa nchini...kaitaba..so hata kimchezo iko vzr...

Iringa ukiondoa vyuo kuna nini cha zaidi pale...there is nothing special hata hali ya hewa ya iringa huwezi linganisha na Bukoba bukoba has the best weather ya ukijani
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Iringa ufananishe na kijiji cha bukoba dah kwel watz tuna afya ya akili sasa bukoba ina kipi cha kuishinda iringa
 
Iringa ufananishe na kijiji cha bukoba dah kwel watz tuna afya ya akili sasa bukoba ina kipi cha kuishinda iringa
Am out...huna hoja ya kueleweka...uko kwenye kejeli bila facts...hii unaonyesha you don't think hupendi kujitesa kutoa facts na evidence....so unaishia kutoa maneno ya disqualification sijui kijiji nk...

Lakin kaa ukijua miji mingi ya bongo ni slums zilizochangamka....miji inakuwa ovyo ovyo bila kimpangilio tukianza na jiji la Dar, mwanza, Arusha nk nk...

Kaangalie Rwanda na miji yao kuanzia kigali, Musanze nk...miji yao wanaipanga na misafi..
 
Kimapato bukoba imepitwa na iringa,miundombinu,elimu, population na maendeleo kwa ujumla
 
Nchi hii kupata mkoa mpaka uwe na kiongozi mkubwa anaetokea eneo hilo ndo atie mkazo.kahama hawana ndo maana hawaifikilii,ila ina diserv kabisa kua mkoa,watu milion na ushee,halmashauli 3,ina mapato ya kujiendesha,eneo inajitosheleza.
Upo sahihi mkuu.
Hata jana nilikutana na mtu, akawa ananiambia the same
 
Huo sio usafiri Kila siku mitumbwi inapinduka.
 
Makambako imewazidi ina 891 sq km we
Jambo la aibu yani manispaa ina KM 101 🤣🤣🤣🤣🤣 sawaa na makambako na mafinga kwel bukoka ina mengi ya kujifunza kwa njombe

Jambo la aibu yani manispaa ina KM 101 🤣🤣🤣🤣🤣 sawaa na makambako na mafinga kwel bukoka ina mengi ya kujifunza kwa njombe
 
Sawa kaka lakin hivi unajua Rwanda Kuna slums hapajapangwa yaaan ni hovyo hasa KIGALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…